CHADEMA kuna vifaa aisee!

Huyu ananifanya nisiweze kuona mapunguvu yake kwenye wizara yake, wakati kila siku wagonjwa wanakufa kwa kukosa madawa....
Shauri yako Utatekwa[emoji89] [emoji89] [emoji89]
 
WAPINZANI TUPO VIZURI JAMANI.

KAMA HUYO TUNAMUWEKA WAZIRI WA MAMBO YA NJE........... MISAADA INAKUJA KWA MAGUNIA NA MAKONTENA........ KUMBAV.

SIO UNAWEKA WAZIRI PALE JICHO MOJA LINAANGALIA KULIA LINGINE KUSHOTO..
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…