Countrywide
JF-Expert Member
- Mar 2, 2015
- 21,776
- 34,761
Kama wewe ulivyoenda?Mmefika hadi kwenye misosi nyie uvccm nenden hadi kwenye bed zao kabisa
Hivi Mwigu na Marope wanafukuzwa lini????Kuna sehemu CHADEMAnawakubali Sana, mm sio irrational Mimi ni mtu makini na mwenye akili timamu. Sio sababu siipendi chadema basi nitakua nachukua kila kitu chao.
Kuna sehemu chadema nawakubali Sana, kwenye masuala mazima ya misosi, a.k.a maakuli, maanjumati. Kwenye hiki kipengele wapo vizuri sana.
Mfano baada ya kukusanya michango, nilimuona Lissu akitumbua minyama, Pumbalu na mwanapaya wakjichana chips na mishikaki, huku mbowe akila pweza gizani.
Hili nimetokea kulikubali sana maana ili kazi za chama zifanyike lazima watu wale, washibe wafanye kazi. Hivyo kwa vyama vingine ni mfano wa kuigwa huu.
Chadema wanatukumbusha kuwa Tumbo halitembei na mjinga, hata kama unapitia magumu gani kula ni muhimu.
View attachment 2380529
Njoo uolewe kabisa huku ChademaKuna sehemu CHADEMAnawakubali Sana, mm sio irrational Mimi ni mtu makini na mwenye akili timamu. Sio sababu siipendi chadema basi nitakua nachukua kila kitu chao.
Kuna sehemu chadema nawakubali Sana, kwenye masuala mazima ya misosi, a.k.a maakuli, maanjumati. Kwenye hiki kipengele wapo vizuri sana.
Mfano baada ya kukusanya michango, nilimuona Lissu akitumbua minyama, Pumbalu na mwanapaya wakjichana chips na mishikaki, huku mbowe akila pweza gizani.
Hili nimetokea kulikubali sana maana ili kazi za chama zifanyike lazima watu wale, washibe wafanye kazi. Hivyo kwa vyama vingine ni mfano wa kuigwa huu.
Chadema wanatukumbusha kuwa Tumbo halitembei na mjinga, hata kama unapitia magumu gani kula ni muhimu.
View attachment 2380529
UVCCM imejaa majitu majinga haswaMmefika hadi kwenye misosi nyie uvccm nenden hadi kwenye bed zao kabisa
Unawajua vizuri uvccm na wana ccm kwa ujumla kwenye misosi?!Kuna sehemu CHADEMAnawakubali Sana, mm sio irrational Mimi ni mtu makini na mwenye akili timamu. Sio sababu siipendi chadema basi nitakua nachukua kila kitu chao.
Kuna sehemu chadema nawakubali Sana, kwenye masuala mazima ya misosi, a.k.a maakuli, maanjumati. Kwenye hiki kipengele wapo vizuri sana.
Mfano baada ya kukusanya michango, nilimuona Lissu akitumbua minyama, Pumbalu na mwanapaya wakjichana chips na mishikaki, huku mbowe akila pweza gizani.
Hili nimetokea kulikubali sana maana ili kazi za chama zifanyike lazima watu wale, washibe wafanye kazi. Hivyo kwa vyama vingine ni mfano wa kuigwa huu.
Chadema wanatukumbusha kuwa Tumbo halitembei na mjinga, hata kama unapitia magumu gani kula ni muhimu.
View attachment 2380529
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji23][emoji16][emoji16][emoji23][emoji1787][emoji16][emoji16][emoji23][emoji23]Njoo uolewe kabisa huku Chadema
Milembe ipanuliwe sasaKuna sehemu CHADEMAnawakubali Sana, mm sio irrational Mimi ni mtu makini na mwenye akili timamu. Sio sababu siipendi chadema basi nitakua nachukua kila kitu chao.
Kuna sehemu chadema nawakubali Sana, kwenye masuala mazima ya misosi, a.k.a maakuli, maanjumati. Kwenye hiki kipengele wapo vizuri sana.
Mfano baada ya kukusanya michango, nilimuona Lissu akitumbua minyama, Pumbalu na mwanapaya wakjichana chips na mishikaki, huku mbowe akila pweza gizani.
Hili nimetokea kulikubali sana maana ili kazi za chama zifanyike lazima watu wale, washibe wafanye kazi. Hivyo kwa vyama vingine ni mfano wa kuigwa huu.
Chadema wanatukumbusha kuwa Tumbo halitembei na mjinga, hata kama unapitia magumu gani kula ni muhimu.
View attachment 2380529
😂😂Milembe ipanuliwe sasa
UMEANDIKA UTOTO SANA.Kuna sehemu CHADEMAnawakubali Sana, mm sio irrational Mimi ni mtu makini na mwenye akili timamu. Sio sababu siipendi chadema basi nitakua nachukua kila kitu chao.
Kuna sehemu chadema nawakubali Sana, kwenye masuala mazima ya misosi, a.k.a maakuli, maanjumati. Kwenye hiki kipengele wapo vizuri sana.
Mfano baada ya kukusanya michango, nilimuona Lissu akitumbua minyama, Pumbalu na mwanapaya wakjichana chips na mishikaki, huku mbowe akila pweza gizani.
Hili nimetokea kulikubali sana maana ili kazi za chama zifanyike lazima watu wale, washibe wafanye kazi. Hivyo kwa vyama vingine ni mfano wa kuigwa huu.
Chadema wanatukumbusha kuwa Tumbo halitembei na mjinga, hata kama unapitia magumu gani kula ni muhimu.
View attachment 2380529
Umri unaruhusuUMEANDIKA UTOTO SANA.
Hapo sawa.so hata ule umri wa wewe kuolewa bado?Umri unaruhusu