CHADEMA kulikoni, viongozi mwaitakia mema Tanzania?

mwengeso

JF-Expert Member
Joined
Nov 27, 2014
Posts
9,286
Reaction score
6,727
1) Viongozi wa CHADEMA mliuambia umma wa Watanzania Lowasa ni fisadi papa, tukawaelewa na chama chake kikamkata.

2) Viongozi wa CHADEMA, mkaongoza mapinduzi ndani ya Bunge la Katiba kwamba Katiba pendekezwa ya Jaji Warioba inachakachuliwa na CCM mkaunda UKAWA, wananchi tukawaelewa.

3) Viongozi wa UKAWA mkabadilisha muungano wenu ukachukua sura ya Chama cha siasa, wananchi tukawaelewa kwamba hatimaye mnatambua "umoja ni nguvu"

4) Viongozi wa UKAWA mkaingia katika kampeni na kaulimbiu ya "mabadiliko", wananchi wakawaelewa kwa kiasi fulani na ndiyo maana hadi sasa mmefanikiwa kupata idadi kubwa ya wateuliwa (madiwani na wabunge) kuliko chaguzi zote zilizopita.

Lakini Viongozi wa UKAWA sasa wananchi hawaelewi kwani agenda yenu ni kuingia Ikulu kwa gharama ya maisha ya wao hao wananchi waliokuwa wanawaamini.

1) Haingii akilini kuamini kuwa, kura zinachakachuliwa, ili hali karibu mikoa yote inaonesha wananchi hao hao waliowapa nafasi zaidi za kuwawakilisha, bado wana imani na CCM ambayo mlidai wameichoka.

2) Pamoja na mamluki kutoka CCM kuvuja siri za kiofisi, bado wananchi wamekiamini CCM.

3) Mtaji wenu wa nguvu ya Lowasa umebainika uko kwa vijana tu, ambao mnajua jinsi mlivyowalaghai, na ndiyo hao mnaotaka kuwatanguliza mbele wapambane na nguvu ya Dola wakati nyie mkikimbilia nje au mnakula raha majumbani mwenu

Kijana wa Kitanzania, hao viongozi kuingia madarakani kwa damu zenu, kutawaweka katika hali hatarishi ya maisha yenu na familia zinazowategemea. Amini CCM chini ya Dkt Magufuli itawapa mabadiliko bora kuliko mnavyotegemea. Mmemsikia na mmemwona kwenye Kampeni na akiwa mtendaji serikalini.

Wakati wa kudanganywa na viongozi ving'ang'anizi na madaraka ya siasa, sasa semeni HAMDANGANYIKI. Waacheni waandamane na familia zao (zitakazonufaika wakiwa madarakani).

TAFAKARI CHUKUA HATUA
 
Tamaa za Mbatia, Mbowe na EL zinataka kufanya nchi imwage damu. Tutawatanguliza wao kwanza Jehanam,
 
kwani unajua kitu unachosema wewe.. kaa tu kula hiyo pesa unayopewa ili uingie kwenye mtandao kuwaaminishawatu ujinga..

kesho sijui nani atakupa pesa tena.
kafanye kazi acha kukaa tu huku. kwanza hii hawajakulipa.
 
Nyie ndo wanaume mnaokaliwa had na wake zenu paka kichwani kisa unaogopa kuachwa. Eti MTU ukae kimya wakat haki haijatendeka, Hanna chama chochote tawala kilichokubal kuondoka madarakani Africa bila quarrels. You have to toil to have political freedom
 
MAO kwa jina kubwa hilo, ebu waombe hao unaowafagilia japo watoe kura za jimbo moja tu sinazotofautiana na za NEC kujenga hoja ya kuchakachuliwa kwa kura.

TAFAKARI CHUKUA HATUA
 
Last edited by a moderator:
Cheap reasoning! !!one sided analysis zungumzia pia uchaguzi wa Zanzibar....
 
1)Wakati wa kudanganywa na viongozi ving'ang'anizi na madaraka ya siasa, sasa semeni HAMDANGANYIKI. Waacheni waandamane na familia zao (zitakazonufaika wakiwa madarakani).

TAFAKARI CHUKUA HATUA
mwengeso, kuna wakati nawashangaa sana Watanzania, sijui shetani gani kawaloga

Toka lini wang'ang'anizi wakawa hao wanaoomba na wao wapate nafasi ya kuwatumikia

Je hao waliokaa madarakani zaidi ya miaka hamsini na bado wanalazimisha kuendelea?

Mwanzoni niliamini ulikuwa ukiwasema UKAWA

Lakini ulivyomalizia ni wazi unawasema CCM

Tafadhali kumbuka, Tanzania bila CCM yawezekana.
 
Ni kweli Tanzania bila CCM inawezekana lakini Tanzania ya viongozi wachumia tumbo itaendelea kuwa maskini. Tanzania ya viongozi bora ndiyo inaweza kuwa na mabadiliko bora. Viongozi hao (wote waliochaguliwa) kwa sasa wataongozwa na Dr Magufuli. Tunaamini kutakuwa na mabadiliko katika uongozi muda mfupi tu
 
Hata Magufuli hakutaka kuwa rais wa nchi hii.
 
1) Viongozi wa CHADEMA mliuambia umma wa Watanzania Lowasa ni fisadi papa, tukawaelewa na chama chake kikamkata.

2) Viongozi wa CHADEMA, mkaongoza mapinduzi ndani ya Bunge la Katiba kwamba Katiba pendekezwa ya Jaji Warioba inachakachuliwa na CCM mkaunda UKAWA, wananchi tukawaelewa.

3) Viongozi wa UKAWA mkabadilisha muungano wenu ukachukua sura ya Chama cha siasa, wananchi tukawaelewa kwamba hatimaye mnatambua "umoja ni nguvu"

4) Viongozi wa UKAWA mkaingia katika kampeni na kaulimbiu ya "mabadiliko", wananchi wakawaelewa kwa kiasi fulani na ndiyo maana hadi sasa mmefanikiwa kupata idadi kubwa ya wateuliwa (madiwani na wabunge) kuliko chaguzi zote zilizopita.

Lakini Viongozi wa UKAWA sasa wananchi hawaelewi kwani agenda yenu ni kuingia Ikulu kwa gharama ya maisha ya wao hao wananchi waliokuwa wanawaamini.

1) Haingii akilini kuamini kuwa, kura zinachakachuliwa, ili hali karibu mikoa yote inaonesha wananchi hao hao waliowapa nafasi zaidi za kuwawakilisha, bado wana imani na CCM ambayo mlidai wameichoka.

2) Pamoja na mamluki kutoka CCM kuvuja siri za kiofisi, bado wananchi wamekiamini CCM.

3) Mtaji wenu wa nguvu ya Lowasa umebainika uko kwa vijana tu, ambao mnajua jinsi mlivyowalaghai, na ndiyo hao mnaotaka kuwatanguliza mbele wapambane na nguvu ya Dola wakati nyie mkikimbilia nje au mnakula raha majumbani mwenu

Kijana wa Kitanzania, hao viongozi kuingia madarakani kwa damu zenu, kutawaweka katika hali hatarishi ya maisha yenu na familia zinazowategemea. Amini CCM chini ya Dkt Magufuli itawapa mabadiliko bora kuliko mnavyotegemea. Mmemsikia na mmemwona kwenye Kampeni na akiwa mtendaji serikalini.

Wakati wa kudanganywa na viongozi ving'ang'anizi na madaraka ya siasa, sasa semeni HAMDANGANYIKI. Waacheni waandamane na familia zao (zitakazonufaika wakiwa madarakani).

TAFAKARI CHUKUA HATUA
maku wewe
 
Kama mabadiliko tumeyaona si ametoka kikwete kaingia Magufuli, sasa tunahitaji maendeleo, mm natakubali maandamano safari kama Mbowe, mbatia na lowassa watakua mbele kama alivyofanya mke wa slaa pale Arusha!!
 
Back
Top Bottom