Kachanchabuseta
JF-Expert Member
- Mar 8, 2010
- 7,263
- 685
Ndoto za fisi kufukuzia mkono wa binadamu. Laleni usingizi mkidhani kitakufa mtaona 2015. Dua la kuku.....
Mwaka huu hautaisha kitazikwa na wao wenyewe
hiyo ni 1st move
Pilipili ya shamba ya kuwashia nini?
Nawaulimia chadema kinakufa kabla hakijakomaa
QUOTE=Fidel80;Umeacha kumuhulia ndugu yako Maralia Sugu apone wewe unawahurumia hao una undugu nao?
Huyu ni Malaria Sugu akitumia ID nyingine. Angalia hasivyojua kuandika kiswahili. Iyo ni alama tosha kua huyu ni MS at his best.
RIP Chadema
Mimi nilisema kuwa chadema haitachukua miaka 2 sasa hivi wanaweza kujizika wenyewe
Je nani atawasadia kuwafunika maana mlango umeishafunguliwa?
Mwaka huu hautaisha kitazikwa na wao wenyewe
hiyo ni 1st move
Aliposhida JK awamu ya kwanza kwa kishindo,nani aliamini kutakua na upinzani tena?sote tuliamini upinzani ulikua umezikwa na hata ilisemekana JK kaja kuua upinzani,nakumbuka kauli hiyo ilisemwa na Lipumba,akionyesha kukata tamaa kabisa,hata sisi wapenzi wa chadema tulikata tamaa.Nini sasa kimetokea mwaka huu,waliokua wamekata tamaa wamefanikiwa mara tano zaidi ya uchaguzi ulopita,walodhaniwa wamekuja kuua upinzani wameshuka toka 81% mpaka 61%.Unadhubutu vipi leo kusema Chadema inakufa? Kama bunge lililopita chadema walikua na wabunge wa kuchaguliwa 5,la sasa wakuchguliwa 23 ni mara 5 zaidi achilia mbali uchakachuaji ulofanywa,then kimahesabu ya probability,uchaguzi ujao wana uwezo wa kufanikiwa mara 5 zaidi ya wa sasa,hivyo kuwa na wabunge wa kuchaguliwa 115 baada ya kuchakachua,achilia mbali viti maalum.Kwa hiyo mkuu cheza na takwimu si kuropoka.
Sasa ndo chadema inazikwa upinzani ndo basi tena
rip chadema
mimi nilisema kuwa chadema haitachukua miaka 2 sasa hivi wanaweza kujizika wenyewe
je nani atawasadia kuwafunika maana mlango umeishafunguliwa?