Kama anakusanya kimya kimya wewe umejuaje?Au yeye mwenyewe amekuambia kuwa anakusanya kimya kimya?Nianze kwa kusema RIP Mzee wetu Ndesamburo...Mwanga wa Milele uangaziwe...
Nikijikita kwenye hoja...inasemekana Meya wa jiji la Arusha alikutana na marehemu mzee Ndesamburo kwa ajili ya kukusanya rambirambi za msiba wa lucky vincente.
Ni majuma takribani matatu hivi toka mkuu wa mkoa asitishe rasmi zoezi la ukusanyaji wa rambirambi kwa ajili ya tukio hilo.Hii ni amri halali ya kiongozi wa mkoa na anayekiuka anaweza kuadhibiwa.
Naamini mkuu wa mkoa alisitisha zoezi hili ili kudhibiti wajanja wanaoeeza kutumia fursa hii ya msiba wa kitaifa au kimkoa kwa manufaa yao binafsi yakiwemo ya kifedha na kisiasa.
Sasa basi kwa kuwa ni wazi Meya au Chadema alikuwa kwenye muendelezo wa kukusanya rambirambi...KIMYAKIMYA ni wazi amekiuka kwa makusudi amri na maelelkezo halali na pia kuna uwezekano anafanya hivyo kujikusanyia fedha kwa maslahi zaidi ya wafiwa.
Je ni lini sasa chadema watasitisha ukusanyaji huu wa rambirambi wa chini ya kapeti na ni lini basi watatutangazia kiasi walichokusanya na kukiwasilisha kwa walengwa?
Kwa kweli una roho ya kutu baada ya wafiwa kuporwa haki yao huoni ni kifuta machozi kuendelea kujipapasa na kuwapunguzia bughudha nyingi walizonazo baada ya kupoteza wawapendao?Nianze kwa kusema RIP Mzee wetu Ndesamburo...Mwanga wa Milele uangaziwe.
Nikijikita kwenye hoja...inasemekana Meya wa jiji la Arusha alikutana na marehemu mzee Ndesamburo kwa ajili ya kukusanya rambirambi za msiba wa Lucky Vincent.
Ni majuma takribani matatu hivi toka mkuu wa mkoa asitishe rasmi zoezi la ukusanyaji wa rambirambi kwa ajili ya tukio hilo.Hii ni amri halali ya kiongozi wa mkoa na anayekiuka anaweza kuadhibiwa.
Naamini mkuu wa mkoa alisitisha zoezi hili ili kudhibiti wajanja wanaoeeza kutumia fursa hii ya msiba wa kitaifa au kimkoa kwa manufaa yao binafsi yakiwemo ya kifedha na kisiasa.
Sasa basi kwa kuwa ni wazi Meya au Chadema alikuwa kwenye muendelezo wa kukusanya rambirambi...KIMYAKIMYA ni wazi amekiuka kwa makusudi amri na maelelkezo halali na pia kuna uwezekano anafanya hivyo kujikusanyia fedha kwa maslahi zaidi ya wafiwa.
Je, ni lini sasa chadema watasitisha ukusanyaji huu wa rambirambi wa chini ya kapeti na ni lini basi watatutangazia kiasi walichokusanya na kukiwasilisha kwa walengwa?
Tafadhali sana mkuu naona mnataka kujisogeza kwenye msiba wa mzee wetu,hayo mambo yenu yaishie huko huko alaaaNianze kwa kusema RIP Mzee wetu Ndesamburo...Mwanga wa Milele uangaziwe.
Nikijikita kwenye hoja...inasemekana Meya wa jiji la Arusha alikutana na marehemu mzee Ndesamburo kwa ajili ya kukusanya rambirambi za msiba wa Lucky Vincent.
Ni majuma takribani matatu hivi toka mkuu wa mkoa asitishe rasmi zoezi la ukusanyaji wa rambirambi kwa ajili ya tukio hilo.Hii ni amri halali ya kiongozi wa mkoa na anayekiuka anaweza kuadhibiwa.
Naamini mkuu wa mkoa alisitisha zoezi hili ili kudhibiti wajanja wanaoeeza kutumia fursa hii ya msiba wa kitaifa au kimkoa kwa manufaa yao binafsi yakiwemo ya kifedha na kisiasa.
Sasa basi kwa kuwa ni wazi Meya au Chadema alikuwa kwenye muendelezo wa kukusanya rambirambi...KIMYAKIMYA ni wazi amekiuka kwa makusudi amri na maelelkezo halali na pia kuna uwezekano anafanya hivyo kujikusanyia fedha kwa maslahi zaidi ya wafiwa.
Je, ni lini sasa chadema watasitisha ukusanyaji huu wa rambirambi wa chini ya kapeti na ni lini basi watatutangazia kiasi walichokusanya na kukiwasilisha kwa walengwa?
Mnakusanya rambirambi kimyakimya tena nje ya muda hiyo ndio hojaKwa kweli una roho ya kutu baada ya wafiwa kuporwa haki yao huoni ni kifuta machozi kuendelea kujipapasa na kuwapunguzia bughudha nyingi walizonazo baada ya kupoteza wawapendao?
Ulitaka CCM ikusanye?Nianze kwa kusema RIP Mzee wetu Ndesamburo...Mwanga wa Milele uangaziwe.
Nikijikita kwenye hoja...inasemekana Meya wa jiji la Arusha alikutana na marehemu mzee Ndesamburo kwa ajili ya kukusanya rambirambi za msiba wa Lucky Vincent.
Ni majuma takribani matatu hivi toka mkuu wa mkoa asitishe rasmi zoezi la ukusanyaji wa rambirambi kwa ajili ya tukio hilo.Hii ni amri halali ya kiongozi wa mkoa na anayekiuka anaweza kuadhibiwa.
Naamini mkuu wa mkoa alisitisha zoezi hili ili kudhibiti wajanja wanaoeeza kutumia fursa hii ya msiba wa kitaifa au kimkoa kwa manufaa yao binafsi yakiwemo ya kifedha na kisiasa.
Sasa basi kwa kuwa ni wazi Meya au Chadema alikuwa kwenye muendelezo wa kukusanya rambirambi...KIMYAKIMYA ni wazi amekiuka kwa makusudi amri na maelelkezo halali na pia kuna uwezekano anafanya hivyo kujikusanyia fedha kwa maslahi zaidi ya wafiwa.
Je, ni lini sasa chadema watasitisha ukusanyaji huu wa rambirambi wa chini ya kapeti na ni lini basi watatutangazia kiasi walichokusanya na kukiwasilisha kwa walengwa?
Kwa muda usiojulikanaKwa hiyo mtaendelea kuzikusanya kama ada ya chama hadi lini?
moment of clarity...tuambieni mtaenda kwa matajiri gani na hadi lini kujusanya rambirambi?Pole sana jingalao , hii ni Arusha & Kilimanjaro ya ukweli na uwazi, Hizo mlizokula ndio za mwisho na msitegemee kama itatokea tena.