johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 104,319
- 183,521
Kiukweli ukiingalia Chadema ya Twitter na hata JF ni tofauti kabisa na hii Chadema tunayoishi nayo huku mtaani.
Jimboni Kawe kwa mfano haijulikani ofisi za Chadema ziko wapi na kama una jambo utalazimika kwenda mtaa wa Ufipa kupata ufafanuzi au la ulilete hapa JF ndio utajibiwa kwa haraka na akina Mmawia.
Ingependeza kama Chadema mkafungua katawi kadogo hapa JF ili taarifa mbalimbali tuzipatie hapa badala ya kuzifuata Ufipa.
Maendeleo hayana vyama!