assadsyria3
JF-Expert Member
- Apr 9, 2013
- 6,909
- 4,057
Huyu Liberal sio bure,njaa uchumiwa tumboni ila wewe unachumia nnyakwa mwenedo wa chama cha chadema ulivyo sasa kweli hakina umakini tena wamelewa sifa sasa wamegeuk kutojali jambo lolote ambalo ni hatari kama lugha za kuudhi na matusi. lazima viongozi wa chadema wajitafakari they are going to grave
Wamemtukana nani? Tusi gani walitoa? Litaje!kwa mwenedo wa chama cha chadema ulivyo sasa kweli hakina umakini tena wamelewa sifa sasa wamegeuk kutojali jambo lolote ambalo ni hatari kama lugha za kuudhi na matusi. lazima viongozi wa chadema wajitafakari they are going to grave
mipasho tumwachie hadija kopa km siasa wamezichoka bora wajibadili kuwa bendi ya taarabu
Mr(ccm)&Mrs(cuf) Liberal....sawa sawa...Chadema hawajawahi kuwa makini, ila watu walikuwa hawajawajua tu.
Kuna ule usemi unaosema "ni heri kufunga mdomo wako udhaniwe mjinga kuliko kuufungua na kuondoa shaka juu ya hilo". Chadema sasa wamefungua mdomo, hakuna tena shaka kuwa chadema ni SIFURI...
Unataka kutuambia wamekosa umakini kutuambia CUF wamefungamana na waliberali? Kama hivyo ndivyo una mtindio wa ubongo.Chadema hawajawahi kuwa makini, ila watu walikuwa hawajawajua tu.
Kuna ule usemi unaosema "ni heri kufunga mdomo wako udhaniwe mjinga kuliko kuufungua na kuondoa shaka juu ya hilo". Chadema sasa wamefungua mdomo, hakuna tena shaka kuwa chadema ni SIFURI...
unapost utumbo had unamua uwe mchangiaji mwenyewe
kwa mwenedo wa chama cha chadema ulivyo sasa kweli hakina umakini tena wamelewa sifa sasa wamegeuk kutojali jambo lolote ambalo ni hatari kama lugha za kuudhi na matusi. lazima viongozi wa chadema wajitafakari they are going to grave
Mr(ccm)&Mrs(cuf) Liberal....sawa sawa...
Unataka kutuambia wamekosa umakini kutuambia Cuf wamefungamana na waliberali? Kama hivyo ndivyo una mtindio wa ubongo.
Sent from my BlackBerry 9860 using JamiiForums
ww ndiye utakaoenda huko kama ID yako
Mliberali ZeMarcopolo vipi Ndoa yako ni lini?Chadema hawajawahi kuwa makini, ila watu walikuwa hawajawajua tu.
Kuna ule usemi unaosema "ni heri kufunga mdomo wako udhaniwe mjinga kuliko kuufungua na kuondoa shaka juu ya hilo". Chadema sasa wamefungua mdomo, hakuna tena shaka kuwa chadema ni SIFURI...
Hawakuomba radhi kwamba walichokisema ni uwongo isipokuwa ukweli umepingwa kwenye jopo(CCM na CUF) la mashetani...siku inakuja mashetani watalikimbia BungeVinara wa uropokaji wameshaomba radhi bungeni. Mmebakia nyinyi tu walaghaika.
kwa mwenedo wa chama cha chadema ulivyo sasa kweli hakina umakini tena wamelewa sifa sasa wamegeuk kutojali jambo lolote ambalo ni hatari kama lugha za kuudhi na matusi. lazima viongozi wa chadema wajitafakari they are going to grave
We mwenyewe boya,tena bwattyboy unakana sera zako,angalieni msijeigeuza Tanzania ikawa Malawijamaa wangekabiziwa nchi sijui wapinzani wao wangepta nafasi mana leo wapo upinzani wapinzani wenzio wanawatukana eti wao ndo kilakitu kweli nimaboya
Chadema hawajawahi kuwa makini, ila watu walikuwa hawajawajua tu.
Kuna ule usemi unaosema "ni heri kufunga mdomo wako udhaniwe mjinga kuliko kuufungua na kuondoa shaka juu ya hilo". Chadema sasa wamefungua mdomo, hakuna tena shaka kuwa chadema ni SIFURI...