Nimeudhuria mkutano wa M4C wa Chadema walikuwa na watu wengi. Wamepata wanachama wapya. Kama haujajiunga jiunge sasa ili tuweze kuikomboa nchi yetu kutoka mikononi mwa mafisadi. Asanteh
Si kila mtu ana uwezo wa kupiga picha na kuzitundika hapa, wengine kama wanafanikiwa kutufikishia ujumbe inatosha, na wale ambao nafasi zao zinaruhusu kupata taswiras na kuturushia zitaongeza uzito.
kulikuwa na vijana wazalendo saana pale ilibidi tuzuie tuangalie kweli chadema kama ndivyo basi tutawaunga mkono hakuna matusi ni hoja tu mpaka mzee wa TANU 1 akarudisha kadi heko saana vijana mnaojitolea kwa kazi zile