CHADEMA: Kila kitu mkopo!

CHADEMA: Kila kitu mkopo!

JAPUONY

JF-Expert Member
Joined
Jul 16, 2010
Posts
383
Reaction score
186
Ndugu Wanabodi,

Nimefuatilia kwa muda mrefu siasa za CHADEMA pamoja an Washirika wao wa NCCR, CUF na NLD nimegundua kuwa kila kitu katika chama hichi kikubwa cha upinzani nchini ni MKOPO.

Ni mkopo kwa sababu zifuatazo:

1. Mgombea Urais wao Bw. Lowassa amekopwa kutoka CCM
2. Mgombea Mwenza wa Urais - Bw. Duni ( BABU) amekopwa kutoka CUF
3. Wafanya kampeni - Masha, Chizii, Mungai, Yule mzee toka Singida, Mgeja - wamekopwa toka CCM
4. Sera ha kuanzisha viwanda, elimu ya bure ya msingi (isipokuwa ya chuokikuu) imekopwa toka CCM
5. Sera ya Majimbo - imekopwa toka Marekani
6. Fedha za Kampeni 2015 - zimekopwa kutoka kwa EL na kwa baadhi ya Wafanyabiashara toka Kaskazini
7. Viongozi wengi wa CDM ASILI wamekopwa toka ukanda mmoja wa nchi

Maswali yangu ya msingi hapa ni:

1. Je, CHADEMA hawakujiandaa kugombea Urais mwaka huu au hiyo ndo staili ya maandalizi yao?
2. Kama EL hata shinda uchaguzi Kama amabavyo dalili zinavyoonesha, CDM watamrejeshea pesa zake?
3. Je, Kama EL hatoshinda uchaguzi atarejea CCM kama inavyosemekana?

Naomba tuchangie bila matusi. Najua vijana wa UKAWA wana mafunzo mazuri ya matusi.
 
Ingekuwa ni kweli unayoandika ndio unayaamini wala msingekuwa mnatafuta wahuni na kuwavisha sare za chadema na kujifanya wanamlilia huyo, kwani nguvu nyingi mnayotumia sasa ni dhahili hali ni mbaya mno huko lumumba!! kweli mwaka huu mmeshikwa pabaya sana,
 
mkuu haujajibu hoja, maelezo hapo juu hayaashirii Kuwa CDM WAMEKOPA?
 
Ingekuwa ni kweli unayoandika ndio unayaamini wala msingekuwa mnatafuta wahuni na kuwavisha sare za chadema na kujifanya wanamlilia huyo, kwani nguvu nyingi mnayotumia sasa ni dhahili hali ni mbaya mno huko lumumba!! kweli mwaka huu mmeshikwa pabaya sana,
Jibu swali la Mkopo
 
Watarudisha mikopo yote mzee akiingia Magogoni. Miaka mitano ya kwanza itatumika kwa shughuli hiyo.
 
Mikopo hiyohiyo inawafanya hadi muweweseke na mabango
 
Hizi siyo propaganda...ni ukweli

Tokea 2010 uliyojiunga ulikuwa likizo? Kwamba wakati huu umerudi kazini ama? Ama umesahau ulijoin JF mwezi wa saba 2010 ukawa active kwenye uchaguzi kisha ukapotea till uchaguzi huu tena....
Vipi nje ya propaganda unajishughulisha na jambo gani ili kujikimu mkuu?
 
mie dereva wa boda boda...
 
Ivi hawa ukawa wanazani uyo mzee wao ataingia ikulu pole yeni ila naomba mufanye maandalizi ya huyo mgonjwa wa ukawa kasababu temu atakatwa vibaya sana lazima afe oct25 poleni sana sisi uku NI KAZI TU.
 
Mwisho wa EL ni 2015! Subirini muone...utabiri huu wa Sheikh Yahya
 
Mkuu wanaiwania Ikulu ili kulipa madeni yao ya kampeni.
bvNa hela iliyokopwa inatoka kwa mafisadi wengi, Rostam na Karamagi hawako mbali sana.
 
Back
Top Bottom