Mapema sana niliandika haya
Topic: CHADEMA ikishinda Ubunge Kigoma Kaskazini nahama Jimbo Kalinzi 07:46 27th July 2015 .
Uteuzi wa awali wa kugombea Ubunge CHADEMA umemalizika ambapo Dr Yared ameibuka kidedea pongezi kwake. Pamoja na kushinda uchaguzi ametumia mbinu chafu sawa na za CCM na hayumo kabisa mioyoni mwa wapiga kura. Watu wanalalama kwa kuachwa kwa kipenzi cha wananchi ndugu Acran John , anguko la akran si anguko lake pekee bali ni anguko la CHADEMA na tayari CCM wanashangilia kwa kuwa kila watakayempitisha ameshinda.
Mmepigwa ndani na nje kwa kumpitisha Dr. Yared haihitaji goli la mkono kushinda kwa CCM ushindi mmeukabidhi wenyewe kwa mikono yenu kwa kutuletea Chaguo la Pesa na kuacha Chaguo la watu. Tamaa mbele kisiasa anguko pembezoni.
Hamkufanyia kazi yamewakuta.