CHADEMA Kigoma kaskazini wamefanya yao

Ally mvano

Member
Joined
Jul 31, 2014
Posts
73
Reaction score
24
Mkutano wa Chadema K/Kaskazini umefana sana katika kijiji cha nyarubanda maelfu ya wakazi wamefika kumsikiliza Dr. Yeredi kubusa Kamanda na Mbunge mtarajiwa Kigoma Kaskazini hongera Dr Kwa speech NZURI na ya kisomi
Ni matumain yangu hamtamuangusha
 
Naona umewekewa bandle na Mbowe .
 
ngoma inogile... project ya TISS kupitia ACT itadoda soon...wananch wanajua kuwa ACT ndo CCM yenyewe...
 
Kama Utaendelea Kuamini Katka Magazeti Radio Na Tv Unaweza Kujikuta Umedanganywa Usishangae Chadema Na Nccr Kushinda Majimbo Mengi Mkoani Kigoma
 
Dr. Yaredi ndo nani mkuu? Sipati kumbukumbu nzuri ya kamanda kama huyo. Najua Mheshmiwa Ali Kirasa ndo alikuwa anatangaza nia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…