CHADEMA kidedea tena Arusha

peoplessssssssssssssssssssssssssssssssssssssssssssssssssssssssssssssssssssssssssssssssssssssssssssssssssssssssssss

pawaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa
 
Mkishindwa kutawala na kuongoza nchi anzisheni fujo kila kona ili mpate namna ya kutumia mabavu kukandamiza haki
 
inaelekea nchi yote itaiasi ccm
 
Hawa CCM ni Wajinga sana, eti walibaka? hivi wanajua tafasiri ya "kubaka" kisheria?

Hayo ni matumizi mabaya ya madaraka...
 
Huko ngoma nzito and I guess next year no vote to CCM will increase twice
 
CCM wanapenda sana kujidhalilisha hasa kwenye hivi vyombo vya kutoa haki - wanajisahau wanafikiri vyote hivyo ni mali ya Lumumba.
 
Ahahahaha,"kesi kipuuzi"mkuu Crashwise chukua like 100
 
Kiboko ya John Mongella ni Nazir Karamagi...............baas

https://www.jamiiforums.com/celebrities-forum/9212-karamagi-amnyanganya-mongela-mke.html
Kumbe ndio maana huyu jamaa yuko vilee ! Kunyang'anywa mke ni sawa na kufedheheshwa , hata hivyo muonekano wake hauruhusu kuwa na demu mzuri , hivi vyeo vinalinda mengi sana !
 
Misukule wa CHADEMA mna vituko sana.
Siku mabwana zenu wakishinda kesi mnaisifia mahakama na mahakimu. Wakishindwa mnaanza kulalamika kuwa mahakama zinatumika na CCM. Akili zenu bado kupevuka.
 
Watanzania tuchangamkeni ukombozi wa taifa letu umewadia sasa. Ni dhahiri sana kwamba ccm inakata roho na ndiyo maana inatapatapa. Kujaza watu mtandaoni kina Lizaboni, msalani, simiyu yetu ili kujaribu kuchafua CDM na kukifufua, bado wameshindwa. Mauaji ya raia, bado yamekwama, Kubambikiza kesi kumekwama, kutumia vitisho na ubabe ndiyo ililyobaki na ambayo CDM wanapangua na kuzidi kuchanja mbuga. Sasa wanatunga hadhith za mtoto mpumbavu kwamba eti mgambo wamebakwa na viongozi wa cDM ili kuongeza uzito wa kesi, bado mahakama zina macho zimepangua.

Sas ccm itaponea wapi? Mungu Ilaze ccm mahala pabaya kuzimuni.


 
Chadema Arusha mbona mnaidhalilisha ccm namna hii jamani ? Siyo fresh bhana .
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…