Uwezo Tunao
JF-Expert Member
- Nov 14, 2010
- 6,942
- 1,199
Jamani nimejaribu sana kukata shingo ili nimuone Mhe SimbaChawene pale sebuleni lakini nimeshindwa.
Kuna yeyote mwenye taarifa zozote juu yaake na mahudhurio yake kule Bungeni Domz tangu mkasa wa kule Aqua Restuarant kule Singida???
Twende kwa hoja mkuu, use your head not your heart!!!
CDM hamna kitu .... kilichobaki ni kurudia na kuibua hoja zilezile kila kikao cha bunge
Jamani nimejaribu sana kukata shingo ili nimuone Mhe SimbaChawene pale sebuleni lakini nimeshindwa.
Kuna yeyote mwenye taarifa zozote juu yaake na mahudhurio yake kule Bungeni Domz tangu mkasa wa kule Aqua Restuarant kule Singida???
Acha utumwa wewe,ni mbuge gani wa ccm kaja na hoja mpya zaidi ya akina Deo na Mpina ambao kwa ukweli wao wa kutetea maslahi ya umma leo wanaonekana ni wasaliti kwa chama.
CDM hamna kitu .... kilichobaki ni kurudia na kuibua hoja zilezile kila kikao cha bunge
CDM hamna kitu .... kilichobaki ni kurudia na kuibua hoja zilezile kila kikao cha bunge
kwann na magamba na wenyewe wasirudie hoja zile zile kama cdm badala yake mnakalia kupongezana tucdm hamna kitu .... Kilichobaki ni kurudia na kuibua hoja zilezile kila kikao cha bunge
sio wakali.. CCM ni chama makini .... hakuna ukanda.. ukabila.. udini...
Anatibu majeraha kwa dawa zote za dunia hii na baada ya wiki mbili atajitikeza media kubisha na ajidai mje mkague mwili kama una umefungwa kidonda, mjanja huo!!! Kadanganye mjukuu wako!!!!
wabadirishe hoja za nini wakati matatizo yetu ni yaleyale.
Wabunge wote wa kambi ya upinzani siku zote ni viwango sana tu.
Zinarudiwa kwasababu ya ukaidi na uziwi wa CCM. Na Zitarudiwa mpaka siku masikio yao yatakapozibuka. Kwa kawaida ukiongea na mtu ambaye hasikii ni lazima utarudia ili kumpa fursa nyingine ya kusikia tena safari hii utarudia kwa sauti ya juu zaidi.CDM hamna kitu .... kilichobaki ni kurudia na kuibua hoja zilezile kila kikao cha bunge
wewe utakuwa si njiwa bali ni kunguru.
CDM hamna kitu .... kilichobaki ni kurudia na kuibua hoja zilezile kila kikao cha bunge
CDM hamna kitu .... kilichobaki ni kurudia na kuibua hoja zilezile kila kikao cha bunge
Kaka Wenje,yule mbunge wa nyamagana,leo kanitamanisha,bora mjengoni wakabaki wabunge wa Chadema peke yao,kuliko wabunge wote wa Ccm..! Kachangia vizuri sana,,,suala la ukubwa wa Balaza la mawaziri tz..! !. Sijaona ata 1 wa ccm anagusia iyo issue,,eccept wanaishia kupongezana tu!! Ongera Wenje!