message sent.
Muda si mrefu ni kweli utajihurumia. Ukiona kunakuwa kweusi ujue kunakaribia kucha. Ohoo...shauri yako.Dah, inatia huruma sana
Wakati huu wa mtafaruku ndani ya chama ndipo ukomavu wa uongozi unapotegemewa kuonekana
Hizi katuni zina ujumbe mzito sana, nadhani kwa kuwa katika CDM kuna wenye akili wengi hakuna kitakachoharibika.
Wakati huu wa mtafaruku ndani ya chama ndipo ukomavu wa uongozi unapotegemewa kuonekana
![]()
![]()