anaijua ccm ni wazee wa ndiyo haijalishi ni zuri ama baya wao ni 'NDIYO'Alie kwambia kila anae kosoa ni chadema nani?
Hao ni chama kilichokufa chadema kwa 100%, walaniwe kabisaCHADEMA kila kinachofanywa na serikali wanapinga hii katuni kaiwekeni kwenye kila ofisi yenu inawahusu.
Hao wa ndio ni kwenye kamera ..anaijua ccm ni wazee wa ndiyo haijalishi ni zuri ama baya wao ni 'NDIYO'
hahaha una hasira mnoo.Hao ni chama kilichokufa chadema kwa 100%, walaniwe kabisa
Utatangulia kufa, waulize na wenzio waliodhani kama weweHao ni chama kilichokufa chadema kwa 100%, walaniwe kabisa
chadema mbona kilishakufa siku nyingi na matanga watu walishafanya. Sasa wewe unashabikia mfu???Utatangulia kufa, waulize na wenzio waliodhani kama wewe
Wewe unshabikia kipi kilicho hai ?!chadema mbona kilishakufa siku nyingi na matanga watu walishafanya. Sasa wewe unashabikia mfu???
CCM, CCM, CCM, CCM, CCM, CCM, CCM, CCM, CCM, CCM, CCM, CCM, CCMWewe unshabikia kipi kilicho hai ?!
Sikujua kuwa najibizana mwenye maono hafifu endelea nacho kiendelee pia kukurudisha nyuma wewe na kizazi chako na wala dhambi hii isikusazeCCM, CCM, CCM, CCM, CCM, CCM, CCM, CCM, CCM, CCM, CCM, CCM, CCM
Odhiambo cairo nchi hii yetu pendwa ya Tanzania bila CCM hakuna maendeleo. Ni CCM tu kwa sasa ndicho chama pekee chenye utashi na nia ya kuleta umoja na maendeleo. Ni CCM tu ndicho chama ambacho kila mwanachama anaouhuru wa kutoa maoni na akasikilizwa. Ni CCM tu ndicho chama chenye wananchama wanaojiamini kuwa wanakiongozi waliyemchagua (siyo dikiteta wa chama mfu kile cha chandomo). Ni CCM tu ndicho chama cha waungwana wanaoipenda nchi yao. Ni CCM tu ndicho chama chenye kuwaunganisha watanzania wote bila kujali dini, ukanda, ukabila. Karibu sana CCM Odhiambo cairoSikujua kuwa najibizana mwenye maono hafifu endelea nacho kiendelee pia kukurudisha nyuma wewe na kizazi chako na wala dhambi hii isikusaze