CHADEMA kata ya Sombetini mmetulekeza

hizo data zako ni za uongo. uchumi wa arusha umeshuka sana kwa vurugu za chadema
 
Ebu nishushie data zako Abakorakamo au huna kaa kimya

data zangu hizi hapa-:
biashara ya utalii imeshuka sana arusha kwa sababu ya vurugu za chadema hali iliyosababisha mahoteli ya kitalii na makampuni ya watalii kupata hasara
 
Nimekuomba utoe data za uchumi wa Arusha kushuka kipindi hiki cha chadema unakimbilia michango dhaifu baada ya kuona nimekubana, nipe data nakusubili
sasa kwa nini lema aliahidi kutoa gari la taka?
 
Nenda shule kama uliogopa umande sema. Watu hawatoi data namna hiyo au kama huwezi omba msaada. Watu mnakimbilia JF kuonyesha udhaifu wenu?
data zangu hizi hapa-:
biashara ya utalii imeshuka sana arusha kwa sababu ya vurugu za chadema hali iliyosababisha mahoteli ya kitalii na makampuni ya watalii kupata hasara
 
Nenda shule kama uliogopa umande sema. Watu hawatoi data namna hiyo au kama huwezi omba msaada. Watu mnakimbilia JF kuonyesha udhaifu wenu?

unataka data za vipi.? acha uchizi hata mtoto wa chekechea anajua uchumi wa arusha umeshuka
 
Nimegundua kweli uko dhaifu kama ccm ilivyo, hizi product za ccm hata kuanalyse mambo haziwezi zimebakia kupayuka

we ndio kiazi kabisa.. mtu yoyote anaemshabikia lema ni mwehu
 
katika majimbo yote yaliyo chini ya cdm ni virio vitupu .dawa ni kumbwaga lema tu

kuwa na watu jamii yako hii nchi bado ina safari ndefu,yan mkimpga chini lema ndo iramba itapata maendeleo? mbona chalinze kwa mkuu ndo majanga ama hujawah kuona?
 
katika majimbo yote yaliyo chini ya cdm ni virio vitupu .dawa ni kumbwaga lema tu

kuwa na watu jamii yako hii nchi bado ina safari ndefu,yan mkimpga chini lema ndo iramba itapata maendeleo? mbona chalinze kwa mkuu ndo majanga ama hujawah kuona? arusha kikaz,tabora ndo hom,pale tbr ni kama jalala, shda zote unazozjua zipo pale, napo tatz ni lema?
 
Wakazi wa sombetini ni mapema mno kuanza kulalamika. Vuteni subira na muwe watulivu kero zenu zitatatuliwa kwa asilimia kubwa
 
Kwa data hizi Mwananchi sidhani kama .@.Abakorakamo atabisha tena!!
Kwa unafiki wa MaCCM na Mkuu wa Mkoa Mulongo wakamfitini Zipora akahamishwa!!
CHADEMA endelea kudhibiti mapato kuleta maendeleo mji wa Ars!!
 
Last edited by a moderator:
Abakorakamo kaiba jina la I'D hajui maana yake Mwananchi unajisumbua kumuelewesha!!
 
Last edited by a moderator:
Kwa data hizi Mwananchi sidhani kama .@.Abakorakamo atabisha tena!!
Kwa unafiki wa MaCCM na Mkuu wa Mkoa Mulongo wakamfitini Zipora akahamishwa!!
CHADEMA endelea kudhibiti mapato kuleta maendeleo mji wa Ars!!

chadema haijachangia chochote kwenye maendeleo ya arusha
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…