TuntemekeSanga
JF-Expert Member
- Jan 15, 2015
- 1,346
- 863
Daaaah! We jamaa umenikumbusha KASUDEKO jaman. Kitambo sana pande iyo. VIP, ZAHORO bado anaonesha picha za kina Msela/Komando kipensi???Nipo hapa Kasudeco, kuna jamaa wawili wanajadili mambo yanayo fanana na hii mada
Teh! Hata jina hilo linasadifu uko mitaa hiyo kweli. IKINUUSI!(mdudu).Mkuu kumbe tupo wote hapa kasudeco Mimi nipo hapa kaunta nachaji simu
Daaaah! We jamaa umenikumbusha KASUDEKO jaman. Kitambo sana pande iyo. VIP, ZAHORO bado anaonesha picha za kina Msela/Komando kipensi???
Miaka ya 90s palinoga sana hapo. Mwe!
Ni kweli, viongozi wa Juu wanapaswa kumaliza mgogoro huu, tena wasipuuzie, maana huyu jamaa wanayemkumbatia si mtu mzuri, amewahi kuratibu mambo mabaya akiwa kiongozi wa chama. Nina ushahidi.Niombe niwashauli CHADEMA wawe makini siasa zimebadilika sana, Kasulu chadema ilikuwa imekaa sawa ila Jimbo la Kasulu wakiwemo viongoza wa mkoa wanavurugana, Mwenyekiti wa jimbo la Kasulu ndugu Ntahindwa pamoja na mwenyekiti Ndugu Rajabu Bujoro wanadai kumfukuza katibu wao nakutokumtambua ndugu kwasa kwasa , zaidi anadaiwa kukivuruga chama hicho na wakamfukuza hivyo baada ya viongozi wake kumfukuza mkoa wamemkumbatia jambo ambalo limepelekea Viongozi hao wanaompinga kupanga na kuahidi muda wowote kuhamia ccm kwa madai yakushindwa kukaa penye migogoro.
Najuzi katibu Mkuu tz bara mashinji ametoka na ameukuta mgogoro huo akiwa na mwenyekiti was vijana taifa na wawerudi bila kuumalzia jambo litkaloharibu chma baada ya watu hao kuhamia CCM.
Nb:Chadema tujifunze kutatua migogoro yetu bila uathili chama
Uko sahihi mkuu. Namkumbuka huyo mzee. Bado hajakata tamaa na siasa tu?Hahaha, nyie jamaa nyie.
Hivi mtu kama Bujoro anakuwa katibu wa chama miaka nenda rudi kwa manufaa ya nani? Na kila siku yeye ndiyo chanzo cha mogogoro lakini yupo tu.
Teh! Hata jina hilo linasadifu uko mitaa hiyo kweli. IKINUUSI!(mdudu).
Kama nakuona vile maeneo ya uwanjani hapo, kwa nyima pale naiona Murubona ya ADASA miaka ile. Duh! Naweza nkalia mie
Uko sahihi mkuu. Namkumbuka huyo mzee. Bado hajakata tamaa na siasa tu?
Miaka mingi sana uyu mzee. Nakimbuka uchaguzi flan nadhan 2010 au nyuma amewahi gombea kama ubunge hivi. Duka lake la spares na Mali zake kibao akafirisikaga naskia.
Kitambo sana.
Kama huna data za ukweli kaa kimya acha kudanganya watu, ni kwa faida ya nani unaposema uongo? Shame on.you.Huyo mzee alikuwa matatizo toka yuko NCCR, kuna kipindi aligombea udiwani akashindwa, ndiyo kuhamia Chadema.
Sema hiyo ndiyo reflection ya upinzani, kuanzia ngazi za tarafa mpaka Taifa.
Nani anaimiliki Kasudeco kwa sasa?
A gossiping mind is a diseased mind!!Huyo Kimila alichukua demu wa mshikaji, namfahamu jamaa.
Sijui kama bado wako na huyo mama.
Aiseeee! Mzee mahanga nakumbuka alikuwaga mtu pekee anamiliki BEDFORD binua mchanga kudaadike.Anaonesha bado, ila Hamad (yule alikuwa mfanyakazi wake) alijitenga. Yuko kwenye kona ya uwanja huku karibu na Furahisha, jirani na Mahanga.
Yeah! Jiran na wachonga koroboi pale ivi.2005 hiyo ilikuwa. Duka lilikuwa kwenye njia ya kuelekea kwa Mauseni ukitokea barabara kuu.
Kama huna data za ukweli kaa kimya acha kudanganya watu, ni kwa faida ya nani unaposema uongo? Shame on.you.
Yeah! Jiran na wachonga koroboi pale ivi.
Mwe!
Aiseeee! Mzee mahanga nakumbuka alikuwaga mtu pekee anamiliki BEDFORD binua mchanga kudaadike.
Nmesoma na mtoto wake mmoja anaitwa SIMO(SIMON). Alikuwaga kazubaa na dzain flan ivi namzidizidi kdogo umri. Alikuwa na maskio flan yame'SHABHALALA(ki-kwetu yan), nikawaga napenda kiyavuta nikawa kero kwake sana.
Duh! Nmekumbuka mbali sana pande iyo mkuu. Ngoja niendelee na Lager zangu kadhaa hapa in honour of this post.
Uongo tena, why can't you keep quite? Miaka kumi ulikuwa mgogoro upi?Shame on me!
Tatizo lenu mnajifungia kwenye siasa za kusifu na kuabudu.
Mgogoro wa Chadema Kasulu una zaidi ya miaka 10, na kila siku mnawalalamikia makao makuu.
Haujawahi kutatuliwa.
Wakati Machali yuko CDM, ulikuwepo, akahamia NCCR akashinda Ubunge, ulikuwepo. Kipindi cha 2015 ulikuwepo enzi za Ukawa wamsimamishe nani nk.
Chadema ina miaka mingi kupata mbunge Kasulu.
Ni kwa sababu mmeamua kuwapa wajinga chama.
Uongo tena, why can't you keep quite? Miaka kumi ulikuwa mgogoro upi?
Nimekaa nyarugusu congoleses refugees camp 2yrs sijui hata lugha ya kiha zaidi ya mwakeye, Marae mi mpita njia tu hiyo Ni kinusi tofauti na yako Ila nimezurula kimtindo kasulu, lalambe, titye, nyenge, rusesa, manyovu, heru juu, tuseme vijiji vyote heru hushingo, muzenze, kigadye, kitambuka, Burundi na wilaya zake, uvinza, katoto, murufiti, kabanga na Hadi kwa fr. Theo eng Ni shida tu ndo zinafanya tuzurule kila konaTeh! Hata jina hilo linasadifu uko mitaa hiyo kweli. IKINUUSI!(mdudu).
Kama nakuona vile maeneo ya uwanjani hapo, kwa nyima pale naiona Murubona ya ADASA miaka ile. Duh! Naweza nkalia mie
Panic, unajua maana yake kweli? I detest liars!is this panicking? Shame on your faceHahaha, umepanic.
Aisee! Kweli wewe Adventure. Hadi kwa Fr.Theo? Nakupa kongole mkuuNimekaa nyarugusu congoleses refugees camp 2yrs sijui hata lugha ya kiha zaidi ya mwakeye, Marae mi mpita njia tu hiyo Ni kinusi tofauti na yako Ila nimezurula kimtindo kasulu, lalambe, titye, nyenge, rusesa, manyovu, heru juu, tuseme vijiji vyote heru hushingo, muzenze, kigadye, kitambuka, Burundi na wilaya zake, uvinza, katoto, murufiti, kabanga na Hadi kwa fr. Theo eng Ni shida tu ndo zinafanya tuzurule kila kona
Panic, unajua maana yake kweli? I detest liars!is this panicking? Shame on your face