mwanzo wetu
JF-Expert Member
- May 4, 2014
- 1,587
- 466
Mkuu kumbe tupo wote hapa kasudeco Mimi nipo hapa kaunta nachaji simuNipo hapa Kasudeco, kuna jamaa wawili wanajadili mambo yanayo fanana na hii mada
Mkuu kumbe tupo wote hapa kasudeco Mimi nipo hapa kaunta nachaji simu
Huyo mzee Ni shida maneno mengi mdomoni tuHahaha, nyie jamaa nyie.
Hivi mtu kama Bujoro anakuwa katibu wa chama miaka nenda rudi kwa manufaa ya ndani? Na kila siku yeye ndiyo chanzo cha mogogoro lakini yupo tu.
Huyo mzee Ni shida maneno mengi mdomoni tu
Kuna jina naskia sijui kimila kitu Kama hicho na Diwani mmoja mi huwa napita hapa na kutia kambi Kisha natembea zangu ila kamji kamekua balaa tofauti na 4 yrs agoHuyo mzee alikuwa matatizo toka yuko NCCR, kuna kipindi aligombea udiwani akashindwa, ndiyo kuhamia Chadema.
Sema hiyo ndiyo reflection ya upinzani, kuanzia ngazi za tarafa mpaka Taifa.
Nani anaimiliki Kasudeco kwa sasa?
Ku
Kuna jina naskia sijui kimila kitu Kama hicho na Diwani mmoja mi huwa napita hapa na kutia kambi Kisha natembea zangu ila kamji kamekua balaa tofauti na 4 yrs ago
Huyo Kimila alichukua demu wa mshikaji, namfahamu jamaa.
Sijui kama bado wako na huyo mama.
Naona ndo tajiri mkubwa kasulu
Hawa kina dyoya wenye trucks na supplier wa pembejeo siyo? Sijui kivile utajiri wao kimila namfahamu kimtindo alisupply materials kipindi Fulani nikiwa field Kanda hizo alikuwa vizuri sijui kwa sasa nilitoka huko miaka hapo huwa napita tuKashawapita kina Dyoya?
Hawa kina dyoya wenye trucks na supplier wa pembejeo siyo? Sijui kivile utajiri wao kimila namfahamu kimtindo alisupply materials kipindi Fulani nikiwa field Kanda hizo alikuwa vizuri sijui kwa sasa nilitoka huko miaka hapo huwa napita tu
Bado yuko nae na sasa amemfungulia duka LA vifaa vya ujenziHuyo Kimila alichukua demu wa mshikaji, namfahamu jamaa.
Sijui kama bado wako na huyo mama.
Hawezi tena hata kusikia harufu ya kupita na kugombea chochote kwa Kasulu kwa sasa maandalizi ya ndalichako yako juu.Okay, ni muda sijafatilia mishe za huko. Dyoya ana kijana wake naona kama anataka kugombea ubunge 2020 kupitia CCM anaitwa David, naona siku hizi anajipendekeza sana kwa viongozi wa chama.
Bado yuko nae na sasa amemfungulia duka LA vifaa vya ujenzi
Hawezi tena hata kusikia harufu ya kupita na kugombea chochote kwa Kasulu kwa sasa maandalizi ya ndalichako yako juu.
Jimama moja jeupe lenye msambwanda flani hiviUnamjua huyo mama?
Labda aende huko vijijini lakin hapa mjini miundombinu inaboreshwa kuwaongopea wanyongeNdalichako nimesikia, lakini si kuna mjini na vijijini?