Waufukweni
JF-Expert Member
- May 16, 2024
- 4,393
- 14,499
Chama cha demokrasia na maendeleo CHADEMA Kanda ya Victoria kimesema kipo imara na hakiwezi kuyumba kwani viongozi na wanachama waliohama hivi karibuni kwao ni kama makapi tu
Katibu wa CHADEMA kanda ya Victoria Zacharia Obadi amesema viongozi hao walikuwa na makosa ya usaliti na kwamba walitakiwa kujieleza kwanini wasifukuzwe kwenye chama ndipo wakaamua kuhama kwenye chama hicho
Kupata matukio na taarifa zote kwa kila mkoa kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025 ingia hapa: Special Thread: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi Mikoa yote Tanzania Bara na Zanzibar kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025
Katibu huyo wa chadema kanda ya Victoria ameongeza kuwa viongozi na wanachama waliohama hawana madhara yoyote kwenye chama na kusema chadema haitawavumilia wasaliti
Katika hatua nyingine Obadi amesema wamejipanga kufanya ziara ya viongozi ngazi ya Taifa kwa ajili ya kampeni yao ya "NO REFORM NO ELECTION" ambapo makamu mwenyekiti John Heche na Katibu mkuu John Mnyika watazungumza na wananchi wa mikoa ya kanda ya ziwa.