Wakudadavuwa
JF-Expert Member
- Feb 17, 2016
- 17,506
- 15,997
Ndugu zangu,
Hali si shwari tena kila mahali wafuasi na viongozi wa Chadema wamejikita kutoa laana,ramli na dua mbaya zikitaka muungano wa Sefu na Zitto usifanikiwe.
Wengi wamesikika wakisema "Seif hana shukrani" "ooh ACT si wapinzani"..."Oohh Zitto katuzunguka"...."ohhhhhhh hawatafika mbali"...."..ooohh Sefu ni CCM"..na wengine wamehalalisha hoja zao kutumia rekodi za video zilizoonesha jinsi wabunge wa Chadema wakitoka nje huku wakimdhihaki Dr.Ally Shein.
Ningeshauri Chadema kama wana mkataba wowote unaombana Seif kuwa akishindwana na CUF ahamie Chadema wamfungulie keshi mahakamani ili kumzuia kuwa mwanachama wa ACT kuliko kuendelea kutoa povu na vilio.
Laa sivyo kuliko kulialia ni Bora wajipange.
Sent using Jamii Forums mobile app