Jumakidogo
R I P
- Jul 16, 2009
- 1,851
- 417
Haihitaji kuwa na diploma kutambua CDM mshirika wake ni Conservative au wewe hauna kumbukumbu???? Uchaguzi 2000, 2005 na 2010 gharama za uchaguzi zilichangiwa na wapiga debe wa USHOGA.Ambaye ana evidence ya chadema kupata misaada frm Uk aweke hapa na ciyo mambo ya inasemekana....hapo twaweza kuchangia kama great thinkers....otherwise its a mere gossip!
Haihitaji kuwa na diploma kutambua CDM mshirika wake ni Conservative au wewe hauna kumbukumbu???? Uchaguzi 2000, 2005 na 2010 gharama za uchaguzi zilichangiwa na wapiga debe wa USHOGA.
mleta thread huna uelewa wala upeo wa kufikiria, nakushauri katika jukwaa la siasa uwe msomaji tu
Ambaye ana evidence ya chadema kupata misaada frm Uk aweke hapa na ciyo mambo ya inasemekana....hapo twaweza kuchangia kama great thinkers....otherwise its a mere gossip!
Kwani aliyekwambia haya mambo yeye anasemaje? Maana unasema inasemekana. Au ndo umbea? Tafuta ukweli peke yako ndugu.:nerd::spy:oa :washing:
hii c point, ina maana misaada inayotolewa na serikali ya uingereza kwa tanzania inamaana ndo tushakuwa mashoga?? Kwani uingereza ambapo labour pia conservative zimekuwa zikipokezana hali ya misaada ulifuatilia imekuwa ikiwaje?? Duh thread yako imejaa alot of confussion... You better phrase it upyahaihitaji kuwa na diploma kutambua cdm mshirika wake ni conservative au wewe hauna kumbukumbu???? Uchaguzi 2000, 2005 na 2010 gharama za uchaguzi zilichangiwa na wapiga debe wa ushoga.
mleta thread huna uelewa wala upeo wa kufikiria, nakushauri katika jukwaa la siasa uwe msomaji tu
cjui umeshirikisha ubongo gn kuleta hii thread, juzi prince Charles alipokuja alitoa vitabu 1000 km msaada kwa Tz, na kesho yk JK alimcndkiza mpk Ngorongoro kula bata, je na hii inamaanisha Jk anasapoti Ushoga???