CHADEMA, kama kweli mnapokea misaada kutoka UK, Mtatunusuru vipi na hoja ya USHOGA tukiwapa kura?

Jumakidogo

R I P
Jul 16, 2009
1,851
417
Pamoja na shida zote za mwanadamu. Raha pamoja na starehe mbalimbali. Ushoga na ndoa za jinsia moja ni kitu kibaya kinachomchukiza Mungu pia. Inasemekana kuwa chama chetu hiki kikuu cha upinza yaani CHADEMA kinapata misaada mingi kutoka Uingereza. Nchi ambayo kupitia waziri wake mkuu wameweka mashariti kwa nchi za kiafrika zilizo katika jumuiya ya madola iwapo kama zinataka kuendelea kupewa misaada basi zikubali ndoa ya jinsia moja. Sisi watu ambao hatuna itikadi ya vyama huwa tunaangalia maslahi ya nchi zaidi bila ya kujali ni chama gani kitatawala. Kwa hili mmejiandaa vipi kukabiliana nalo iwapo kama tutawapa dhamana ya kushika hatamu za uongozi wa nchi.
 
..siyo hilo tu, Raisi Kikwete ameanzisha mahusiano ya mafunzo kati ya JWTZ na majeshi ya Marekani.

..jeshi la Marekani linaruhusu ushoga wa waziwazi. Je, amiri jeshi mkuu wetu, Col.Jakaya Kikwete hana habari na hilo?

..maraisi wote waliomtangulia hawakuanzisha mahusiano ya mafunzo na kijeshi na Wamarekani.

NB:

..isije kuwa milipuko ya gongo la mboto ndiyo MUNGU anatulaani hivyo kwa mahusiano yetu kijeshi na mashoga wa Kimarekani.
 
Ukikubali kuoa mama mwenye mtoto na mtoto ni jukumu lako kumlea!! CDM kwa masharti ya Cameroon ni kula nae sahani moja. Watanzania kazi kwenu, AKILI MKICHWA:photo:
 
Ah najuuta ku lost muda wangu kusoma thread ya kusadikika... Ati inasemekana? Wapi kwa nani ? Umbea mwingine !!
 
Ambaye ana evidence ya chadema kupata misaada frm Uk aweke hapa na ciyo mambo ya inasemekana....hapo twaweza kuchangia kama great thinkers....otherwise its a mere gossip!
 
Ambaye ana evidence ya chadema kupata misaada frm Uk aweke hapa na ciyo mambo ya inasemekana....hapo twaweza kuchangia kama great thinkers....otherwise its a mere gossip!
Haihitaji kuwa na diploma kutambua CDM mshirika wake ni Conservative au wewe hauna kumbukumbu???? Uchaguzi 2000, 2005 na 2010 gharama za uchaguzi zilichangiwa na wapiga debe wa USHOGA.
 
Haihitaji kuwa na diploma kutambua CDM mshirika wake ni Conservative au wewe hauna kumbukumbu???? Uchaguzi 2000, 2005 na 2010 gharama za uchaguzi zilichangiwa na wapiga debe wa USHOGA.

kill them all let God sort out...kupata misaada doesnt prove that chdma wanasupport faggotism....mbona nchi yetu inapata misaada mingi xana frm uk? Au kikwete amesema anasupport those faggots? Point ua finger to the gvnt b4 chadema guy! Otherwise kwli ww utakua mafili!
 
kwa hiyo serikali ya ccm haipokei misaada toka uingereza? Au ndo kusema wanafanya kisirisiri zaidi.
 
mleta thread huna uelewa wala upeo wa kufikiria, nakushauri katika jukwaa la siasa uwe msomaji tu
 
Ambaye ana evidence ya chadema kupata misaada frm Uk aweke hapa na ciyo mambo ya inasemekana....hapo twaweza kuchangia kama great thinkers....otherwise its a mere gossip!

Chama rafiki hukijui?
 
Kwani aliyekwambia haya mambo yeye anasemaje? Maana unasema inasemekana. Au ndo umbea? Tafuta ukweli peke yako ndugu.:nerd::spy::poa :washing:
 
Kwani aliyekwambia haya mambo yeye anasemaje? Maana unasema inasemekana. Au ndo umbea? Tafuta ukweli peke yako ndugu.:nerd::spy::poa :washing:
 
haihitaji kuwa na diploma kutambua cdm mshirika wake ni conservative au wewe hauna kumbukumbu???? Uchaguzi 2000, 2005 na 2010 gharama za uchaguzi zilichangiwa na wapiga debe wa ushoga.
hii c point, ina maana misaada inayotolewa na serikali ya uingereza kwa tanzania inamaana ndo tushakuwa mashoga?? Kwani uingereza ambapo labour pia conservative zimekuwa zikipokezana hali ya misaada ulifuatilia imekuwa ikiwaje?? Duh thread yako imejaa alot of confussion... You better phrase it upya
 
cjui umeshirikisha ubongo gn kuleta hii thread, juzi prince Charles alipokuja alitoa vitabu 1000 km msaada kwa Tz, na kesho yk JK alimcndkiza mpk Ngorongoro kula bata, je na hii inamaanisha Jk anasapoti Ushoga???
 
We kweli nduza uliyekurupukia mada, swali limeulizwa kwa chadema huko unaenda wapi. Tayari vyupa vinasumbua si ulale. Haya ndo matatizo ya kulewa bila kula.
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom