CHADEMA Jihadhari na Mamluki

CHADEMA Jihadhari na Mamluki

RainJr

New Member
Joined
Dec 21, 2012
Posts
2
Reaction score
0
Makamanda Mimi nawaasa Viongozi wa CHADEMA wajihadhari na Mamluki katika chama. Juzi amejitokeza Mjeshi mjeshi mmoja kapiga picha na baadhi ya Viongozi wetu. Hili ni hatari sana maana watu hawa wanaojifanya watakifia chama haswa mjeshi kama huyo angetakiwa kuangalia maadili ya kazi yake. Nashauri akipokelewa kama mwanachama apokelewe tu kama raia wa kawaida na siyo kufanya iwe ishu kubwa maana itatuletea shida baadae, na washindani wetu watatumia hilo kama upanga kwetu.
 
Back
Top Bottom