Waufukweni
JF-Expert Member
- May 16, 2024
- 4,393
- 14,500
Doria mtandaoni 😄Hio signatory ya Brenda Rupia ndio naikubari aisee polisi popote mlipo najua na humu mnapiga doria waambieni CCM hio michezo sio waachieni hao wanachama acheni ubwege nyinyi mnakuaje viazi kiasi hicho mnatumika km pampers
Wanatuona mabwege nchi ya kijinga hii, siku watanzania wakiamka kutoka kwenye usingizi watajuta sanaNa siku hizi jeshi la polisi limefunga comment aliyebaki naona anaweza kuongea na wananchi serikali ni dr Doroth gwajima tu hapa JF