kingukitano
JF-Expert Member
- Jul 18, 2011
- 1,971
- 497
Kwa hakika wananchi wameshajua sasa nini tunawaambia kuhusu chagadema! Hawa jamaaa ni vichaa kabisa lakini the good thing is that Umma wa watanzania sasa tumeelewa na wameeelewa kuwa Tundu ni mgonjwa wa akili!
Tufanye juu tumrudishe Lissu hospital ya Mirembe! Huyu jamaa ni zaidi ya chizi!
Shame on him Tundu n ur party!
Hakika chadema mtalipa gharama kwa uhuni huu
CHADEMA hawana adabu wahuni wanamtukana baba wa taifa
Hiki chama cha Chadema kitajuta kumtukana muasisi wa hili taifa,kitajuta Na hakitabaki salama,huu ni ufunuo ambao hakika hautapita.
Ibrahimu katika biblia anaitwa Babà,wa imani ni haijalishi aliwahi kufanya uzinzi Na kuzaa nje ya ndoa Na bi hajra,lakini imani yake ilidumu Na aliheshimiwa Na Yehova.
Tunapohubiri tunaangalia imani yake hatuhubiri kumkejeli.
Hata mwalimu,ni Icon ya taifa alipaswa kuheshimiwa Na suo kutukanwa Kama huyu kichaa wa chadema alivofanya huku alimulikwa Na kamera za television ya Taifa.
Tundulisu shukuru kingukitano sio Rais hakika ningekupoteza
Kwa hakika hawatabaki salama wamelaghai sana watu lakini kwa sasa tumewajua ndiyo maana zitto alinyanyaswa sana na chama hiki kwa kuwa wao wanayo malengo binafsi kwenye kila jambo lakini kwa sasa hawana chao tena tumewachoka.Kwa hakika wananchi wameshajua sasa nini tunawaambia kuhusu chagadema! Hawa jamaaa ni vichaa kabisa lakini the good thing is that Umma wa watanzania sasa tumeelewa na wameeelewa kuwa Tundu ni mgonjwa wa akili!
Tufanye juu tumrudishe Lissu hospital ya Mirembe! Huyu jamaa ni zaidi ya chizi!
Shame on him Tundu n ur party!
Nyie MLIOMUUA mnajiweka kundi gani? laana ya kutukana na Kuua ipi umtafuna sana mtu?
Kwa hiyo yule aliyemteua MNYWA GONGO katika jambo muhimu kama lile unamuweka kundi gani? na je Yule MNYWA GONGO na yule aliyemteua ni nani DHAIFU kati yao kwa kutenda waliyoyatenda?Eti wanamlinganisha mnywa gongo warioba Na legacy ya Mwal.Nyerere
Wewe unatofauti gani na mawazo ya hawa mkuu.Nyie MLIOMUUA mnajiweka kundi gani? laana ya kutukana na Kuua ipi umtafuna sana mtu?
CHADEMA hawana adabu wahuni wanamtukana baba wa taifa
Wewe unatofauti gani na mawazo ya hawa mkuu.
We Chadegongo hata Khomein wa tengeru aka Mtei ameshushwa Na uwendawazimu wa Lissu,Na kuonya Chadegongo kutorudia ufumbafu huu
CHADEMA hawana adabu wahuni wanamtukana baba wa taifa
Hakika chadema mtalipa gharama kwa uhuni huu
CHADEMA hawana adabu wahuni wanamtukana baba wa taifa