WE ACHA TUU MKUUU
TUNABANDARI INGETOSHA KULISHA RWANDA, BURUNDI, ZAMBIA, UGANDA NA DRC
TUNAMAZIWA NA BAHARI TUNGEWEZA KUUZA SAMAKI
TUNAMBUGA NZURI
TUNAMAENEO KIBAO YA KILIMO YENYE RUTUBA
MITO KIBAO HATA MAJI SAFI HATUNA
KWANINI TUSIDHARAULIKE EETI!:A S embarassed:
Wewe utakuwa sio mwafrika kutoka TanzaniaYES Tanzania sio nchi ya maana na muhimu...well said minister barak
Kwanza Israel katusaidia kutuonyesha u-kondoo wetu.... UKWELI UTABAKI KUWA UKWELI.. hata tujitutumue vipi..!!! Mwingine anamuushisha Nyerere..!!! Enzi za Nyerere upuuzi wote uaotudharaurisha usingekuwepo!!! watu mnagawa dhahabu bure kwa majahili bado msidharaulike!!!! Hata wasiosema wanatudharau zaidi ila wanaona wanyamaze ili....... (people might not notice the difference).... Mtu mzima miaka 50 bado hata kutambaa hawezi!!! Kalaaniwa au ni zezeta.... SAMAHANI KAMA NIMEKUKWAZA
aIsraeli walichosema ni ukweli mtupui, Rais wetu kila siku anazunguka akiomba omba misaada (hadi chandarua JK anaomba), kwa misingi hii kwa nini tusitukanwe?
Assume wewe mwana JF kila siku jamaa wako anakuomba msaada (mara pesa ya kula, pesa ya mtoto shule, watoto wangu wanaumwa), mtu wa namna hii utahacha kumzarau?
Naungana na wachangiaji wengine inabidi C.C.M watuombe radha watanzania kwa sera zao mbovu, mikakati yao mibovu ndani ya miaka hamsini ya uhuru.
Alafu wananiuzi na msemo wao eti "TUMEDHUBUTU, TUMEWEZA NA TUNASONGA MBELE" Mmeweza nini C.C.M ninyi? Hicho mlichoweza mbona hatukioni?
Huu ni muda watanzania wenzangu tuidai Tanganyika yetu.
Ukiataka kufahamu kwamba Tanzania hatuna viongozi!!! Kwa mfano; Jaribu kufikiri Israeli tuwakabidhi Nchi yetu ya Tanzania alafu wao watukabidhi Nchi yao ya Israeli, baada ya miaka hamsini tuangalie nani kapiga hatua zipi katika maendeleo kwa ujumla?
[h=2]Isaka na Abimeleki[/h] 1 Ikawa njaa katika nchi hiyo, mbali na njaa ile ya kwanza iliyokuwa siku za Ibrahimu. Isaka akamwendea Abimeleki, mfalme wa Wafilisti, huko Gerari. 2 BWANA akamtokea, akasema, Usishuke kwenda Misri, kaa katika nchi nitakayokuambia. 3 Kaa ugenini katika nchi hiyo, nami nitakuwa pamoja nawe, na kukubariki, maana nitakupa wewe na uzao wako nchi hizi zote. Nami nitakifanya imara kiapo nilichomwapia Ibrahimu baba yako. 4 Nitazidisha uzao wako kama nyota za mbinguni, nami nitawapa uzao wako nchi hizi zote, na katika uzao wako mataifa yote ya dunia watajibarikia. 5 Kwa sababu Ibrahimu alisikia sauti yangu, akayahifadhi maagizo yangu, na amri zangu, na hukumu zangu, na sheria zangu. 6 Isaka akakaa katika Gerari.
Abimeleki akawaamuru watu wote, akisema, Amgusaye mtu huyu au mkewe lazima atauawa. 12 Isaka akapanda mbegu katika nchi ile, akapata mwaka ule vipimo mia kwa kimoja, BWANA akambariki. 13 Na mtu huyu akawa mkuu, akazidi kusitawi, hata akawa mkuu sana. 14 Akawa na mali ya kondoo, na mali ya ng'ombe, na watumwa wengi. Hao Wafilisti wakamhusudu. 15 Na vile visima vyote walivyochimba watumwa wa baba yake, siku za Ibrahimu babaye
HUYO NDO BABA YAKE NA ISRAEL; UKIPENDA MWITE YAKOBO........ nani amuombe msamaha mwenziye!!!!
Hy Waziri yupo sawa kabisa, Mi mwenyewe sioni umuhimu wa Tanzania kama nchi kwenye anga la kimataifa.Ila serikali ikanushe tu maanake tumeshazoea kukanusha ukweli ka ule wa mapankiTatizo letu mkuu hatujijui how irrelevant we are as a country.
tutake tusitake... hata washikaji (type ya akina Musafiri Diof) huwa wanadharaulika!!!
what we hear from this one minister may be a common word from europe na north america.... ukishakuwa ombaomba, kubali kudhalilika