Ni jambo la heri na ni vema kumshukuru Mungu kwa kutulinda kwa mwaka mzima ulomalizika, nisiandike mengi sana naomba Mungu pia ktk mwaka huu chama chetu kinachopendwa na watu wengi zaidi cha CHADEMA kianze na Mungu na kumaliza na Mungu, naamini kitafanya vema zaidi kwa mwaka huu na hasa kwa kuanza na chaguzi ndogo za madiwani. Nini maoni yako kwa chadema kwa 2014!
Tulianza Mwaka 2013 na Mungu, tukaumaliza na Mungu, sasa tumeanza Mwaka 2014 na Mungu! Sifa na utukufu zimwendee Mungu
Sent from my BlackBerry 9780 using JamiiForums
Amen, mungu azidi kuibariki CHADEMA.
2014 cdm iache unafiki wa kujidai na mungu. Mungu is so pure. Labda kama cdm ina mungu wake tofauti.Ni jambo la heri na ni vema kumshukuru Mungu kwa kutulinda kwa mwaka mzima ulomalizika, nisiandike mengi sana naomba Mungu pia ktk mwaka huu chama chetu kinachopendwa na watu wengi zaidi cha CHADEMA kianze na Mungu na kumaliza na Mungu, naamini kitafanya vema zaidi kwa mwaka huu na hasa kwa kuanza na chaguzi ndogo za madiwani. Nini maoni yako kwa chadema kwa 2014!
Chadema chama kilichokosa mwelekeo zitto peke yake kawashinda.
chaema ni jembe asiye penda chadema anataka raia wafe aokopwe kama ukoma
Post mbovu kabisa kwa mwaka 2013
Post mbovu kabisa kwa mwaka 2013
Mungu hapendi uzinzi na umalaya, hapendi majungu na uzushichadema kimejaa damu, kama kuendelea mnaweza kuendelea kama hitler na iddi amini. Ila mmejaa damu