KIM KARDASH
JF-Expert Member
- Sep 21, 2011
- 5,139
- 1,150
Tayari anaemfuata Regia ni diwani wa Karatu kwa Mujibu wa Tume,hayo hayapo ndani ya Uwezo wa Chadema tena ni tume baada ya Chama kupeleka majina zamaani kwa Mpangilio
Nilidhani mamlaka ipo chini ya watu/umma.Subirini, tusije tukaingilia chombo au mamlaka yenye maamuzi.
Naamini hiyo mamlaka itafanya uteuzi wa haki bila ubaguzi. Ila kwa maslahi ya taifa na chama, inaweza kufanya uteuzi wenye kuudhi wachache kwa maslahi ya wengi!
Mungu Ibariki Tanzania
Mungu Ibariki CHADEMA
Tuantoa tahadhari kabla ya hatari ili kama kuna mchezo wahusika wanataka kuucheza wajue watu tuko macho,hiyo ya kututaka tusubiri mpaka maji yafike shingoni ndio tujue kumbe tunazama haisadii sana.Ni vema kusubili na kuona kitakachoamliwa,si vizuri kutoa lawama kabla ya maamuzi kufanywa!
Tukumbushe mkuu,
Ni Rose Kamili????
Tuantoa tahadhari kabla ya hatari ili kama kuna mchezo wahusika wanataka kuucheza wajue watu tuko macho,hiyo ya kututaka tusubiri mpaka maji yafike shingoni ndio tujue kumbe tunazama haisadii sana.
Hilo ndo tatizo la kutojua taratibu na kanuni zinazozingatiwa katika hoja unayoijadili,Ktk mchakato wa kumpata mrithi wa Regia kwa sasa Chadema hawana maamuzi mapya tena isipokuwa Tume humtangaza kuwa mbunge wa kurithi mtu anayefuatia katika orodha ilokwishawasilishwa awali kutoka pale walipokomea kutokana na idadi ya viti vya CHADEMA.
Ktk uchaguzi mkuu uliopita, isipokuwa ikiwa mtu huyo anyefuatia amekoma uanachama,amefariki au amepoteza sifa zinazomfanya aendelee kuwa mwanachama,watateua anayefuatia tena kutoka orodha ileile ya awali na ikiwa hana pingamizi lolote la chama lihusulo uanachama wake ndiye atakayetangazwa na tume.ACHA UMBEYA WAKO,UMEJAA HILA TUPU KAMA NYOKA,