Nikiwa kijana mzalendo nasikitika kuiona Chadema ikipewa nguvu na waliyemtambulisha kuwa FISADI PAPA.
Sitoandamana tena kwa kisingizio cha nguvu ya umma.
Kuing'oa CCM hakuwezi kuifanya chadema ijenge makao yake makuu!
Kudeki barabara wakati gheto lako limejaa uvundo hakutapumbaza wazalendo wa kweli kuchagua kilicho bora.
Kuwachukua vijana Ngarenaro ili wakafanye matamasha ya mafuriko sio jambo lililozoeleka kwa Chadema.
Naungana na Mwanakijiji kuwakataa wasanii na movie ya mabadiliko.
Magufuli rekebisha 'SOMBRERO' uchape KAZI.
#HAPAKAZITU

huwa nasikitika sana kuona vijana wadogo hawajitambui,wanadhani tanzania inapaswa kuwa hivi wakati tulipaswa kuwa hatua mia moja kutoka hapa tulipo.bora nimpe kura yangu fisadi mmoja kuliko kukipa kiwanda cha mafisadi ambamo mafisadi wamo wamejazana,wengine bado kukomaa,wengine ndo wanazaliwa,wengine ndo wanamalizia,wengine ndo wanajitutumua kufisadi etc
tutaheshimiana tu 25,oct
Nikiwa kijana mzalendo nasikitika kuiona Chadema ikipewa nguvu na waliyemtambulisha kuwa FISADI PAPA.
Sitoandamana tena kwa kisingizio cha nguvu ya umma.
Kuing'oa CCM hakuwezi kuifanya chadema ijenge makao yake makuu!
Kudeki barabara wakati gheto lako limejaa uvundo hakutapumbaza wazalendo wa kweli kuchagua kilicho bora.
Kuwachukua vijana Ngarenaro ili wakafanye matamasha ya mafuriko sio jambo lililozoeleka kwa Chadema.
Naungana na Mwanakijiji kuwakataa wasanii na movie ya mabadiliko.
Magufuli rekebisha 'SOMBRERO' uchape KAZI.
#HAPAKAZITU
Nikiwa kijana mzalendo nasikitika kuiona Chadema ikipewa nguvu na waliyemtambulisha kuwa FISADI PAPA.
Sitoandamana tena kwa kisingizio cha nguvu ya umma.
Kuing'oa CCM hakuwezi kuifanya chadema ijenge makao yake makuu!
Kudeki barabara wakati gheto lako limejaa uvundo hakutapumbaza wazalendo wa kweli kuchagua kilicho bora.
Kuwachukua vijana Ngarenaro ili wakafanye matamasha ya mafuriko sio jambo lililozoeleka kwa Chadema.
Naungana na Mwanakijiji kuwakataa wasanii na movie ya mabadiliko.
Magufuli rekebisha 'SOMBRERO' uchape KAZI.
#HAPAKAZITU
Mtoto hata ubwabwa wa shingo haujakutoka unadai mabadiliko...yapi hayo...kifunze historia ujue nini cha kubadilisha