CHADEMA is my Valentine

We Tanzania are very good at embracing imported culture.

Valentine’s Day Tanzania inakuwa promoted kushinda ata huko kwa mabeberu.

Chama cha siasa na chenyewe kina Valentine.

Ndio maana nchi za wenzetu kulinda tamaduni na lugha yao kuna quota za vipindi vya kuonyesha au kutangaza 70% of the content za cultural show, soap opera, movies na habari za kawaida lazima ziwe za nchi zao; France ni 90%.
 
ungetumia muda huo kupromote umasai wako unaopigwa vita huko ngorongoro ungeonekana wa maana sana
 
Ushawahi kuangalia Tv ya ccm, tbc?
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…