Ndahani
Platinum Member
- Jun 3, 2008
- 18,119
- 9,056
Haaaahaaaa….Inaelekea ulishaongea na Mwenyezi Mungu mkakubaliana. Mwenyezi Mungu ana surprise zake kubwa kubwa tu. Waulizie jamaa waliojipanga 2015 halafu ndoto zikaishia hewaniCome rain come sun Mungu akitujaalia Uzima Zitto lazima atakuja kuwa raisi wako bila kujali utampa au hutompa kura, ni swala la muda tu