CHADEMA, Intelijensia iliyotumika kumfukuza Zitto ilikuwa wapi kwa Nassari?

Come rain come sun Mungu akitujaalia Uzima Zitto lazima atakuja kuwa raisi wako bila kujali utampa au hutompa kura, ni swala la muda tu
Haaaahaaaa….Inaelekea ulishaongea na Mwenyezi Mungu mkakubaliana. Mwenyezi Mungu ana surprise zake kubwa kubwa tu. Waulizie jamaa waliojipanga 2015 halafu ndoto zikaishia hewani
 
Ningekuwa CCM ningependekeza MwenyeKiti wa Sasa aongoze kwa miaka thelathini hili CCM wanyoke kabisa.
 
Mashinji ni guise tu, wouldnt you agree kuwa John Mrema anafanya kazi za kiutawala Chadema kuliko Katibu mkuu?

Despite of mapungufu ya CCM, tukubaliane tu, CCM kama chama cha kisiasa cha kitaifa kina Usawa zaidi wa Kikabila, Kikanda na Kidini. Wouldnt you agree?
Magufuli - Geita

Samia - Unguja

Kassim - Lindi

Kijazi - Tanga

Bashiru - Kagera.

Listi inaendelea na kuendelea....
 
we ndugu

oneni aibu na chadema mlipofika, chutama

zitto hakuwahi kuwa sehemu ya CCM, wala kutaka kuiua chadema

kosa la zitto ni kutaka uenyekiti ambao mumempa mbowe maisha yake yote

sawa na CCM walivyojipa Tanzania yote (mko sawa)

Zitto hakuwa na haja, wala hana haja ya ku hide 70% watu muhimu wa chadema wamerudi CCM, zitto hata angeenda CCM usingemlaumu wala asingeonekana wa ajabu

Zitto ka stick kwenye misimamo yake, nia zake, na kikubwa ndo kaonyesha upendo kwa chadema ambayo ishakufa(hata kama utabisha bila mzuka)..issue ya Lissu zitto ka handle kwa upendo, wakati Lissu ndio alisimamia show nzima

Narudia tena tuliokuwa chadema tangu 2007 zitto anataka kuogombea na kuzuiwa tunakumbuka

Neno chama cha demokrasia haliko ki uhalisia

Mbowe angeweza kupewa title ingine akawa juu ya kila mtu; kuweka kwenye katiba swala ambalo halifanyiwi kazi ni makosa na aibu nyie wafuata mkumbo

Tuweke rekodi sawa kabisa, zitto hakutaka kuua chadema

Upinzani saa hizi, leo hii, nyakati hizi ngumu aliyekomaa na kuufanya wangalau uonekane upo ni zitto na ACT yake

kudanganywa ulidanganywa sawa!..muda umeongea, bado bila aibu ukiwa uchi unarudi kwenye ule uongo?

chadema imefanya vingapi vya aibu??.vya kihistoria kumuacha slaa, kumleta EL ambaye karudi na kura zake 6m CCM bado haujaona aliyeua chadema??
Sasa kwani huyu Slaa na EL wapo Chadema? Kwani hujui walipo sasa? Kama kweli walikuwa wanakichukia toka moyoni hicho Chama tawala wangeenda huko? Usituaminishe kwamba hao ndio walikuwa wapinzani wakati wewe mwenyewe unashuhudia walipo sasa. Kwani kuikomoa Chadema ni kwenda CCM? Au kuikomoa Chadema ni kuwa waziri au mkuu wa wilaya au mkoa au ukatibu mkuu?
 
Mkuu,
Mwanasiasa yoyote anapokuwa na chama cha siasa anaangalia odds za yeye kukua kisiasa away from mengineyo kama kukijenga chama nk.

Under ceteris peribus, Kijana kutoka kanda na dini yoyote(tofauti) ana probability ya kupewa equal chance na kukua kulingana na potential yake akiwa CCM kuliko akiwa CHADEMA

Alichokua anapigania Chacha Wangwe(RIP) alipotangaza nia ya kugombea uenyekiti unakikumbuka? Ilikua Empowerment ya chama mikoani kwa usawa na sehemu ya ruzuku kusaidia mikoani(almost ruzuku yote ilikua ikiishia Makao makuu), Zitto pia alikua na aim hiyo.

..ukiniambia ccm kuna fursa nyingi na haswa zile za kiserekali nitakubali.

..lakini ndani ya chama, kwa nafasi zilizoko ktk chama, kijana akiwa cdm ana nafasi kubwa zaidi ya kibaji chake kuonekana kuliko anapokuwa ccm.

..Zitto, Mnyika, Mdee, wangekuwa ccm wangekuwa watu wa chini huko, lakini kwasababu walikwenda cdm leo hii wanajulikana kitaifa.

..Pia upinzani ni kwa ajili ya watu wenye hulka, imani, na misimamo fulani. Kutokana na ukandamizaji na uonevu wanaofanyiwa upinzani is not for everybody. Na ndiyo maana wale wanaopenda kupata madaraka na vyeo kirahisi-rahisi hawawezi kudumu ktk vyama vya upinzani.

..
 
Nachokiona kwenye hoja yako ni uoga wa mabadiliko na ushahidi wa wazi kuwa Zitto angeshinda kama angegombea.
Nia njema ya mbowe kwa chama wanaCHADEMA si wanaijua vizuri? Kwanini wasimuache Zitto agombee afu wamkatae kwenye boksi la kura?
Sikweli mkuu,nipo wazi wala siogopi ila natamani mbowe awe mwenyekiti kwakipindi chake kinachobaki ila lisu ndio ampokee baadae sio sasa,kama kweli tunapenda mabadiliko kitaifa ,sio kivyama usemavyo
 
Mashinji ni guise tu, wouldnt you agree kuwa John Mrema anafanya kazi za kiutawala Chadema kuliko Katibu mkuu?

Despite of mapungufu ya CCM, tukubaliane tu, CCM kama chama cha kisiasa cha kitaifa kina Usawa zaidi wa Kikabila, Kikanda na Kidini. Wouldnt you agree?

..ulisema watu wa kanda na dini nyingine hawapewi nafasi cdm na mimi nikakupa mifano ya Dr.Mashinji na Prof.Safari kuwa ni wenyeji wa kanda ya ziwa.

..kinachowasaidia ccm ni UTITIRI wa nafasi za uongozi zilizoko serekalini. Nafasi hizo ndizo zinawezesha kila wana ccm wengi sana kushiba.
 
Mashinji ni guise tu, wouldnt you agree kuwa John Mrema anafanya kazi za kiutawala Chadema kuliko Katibu mkuu?

Despite of mapungufu ya CCM, tukubaliane tu, CCM kama chama cha kisiasa cha kitaifa kina Usawa zaidi wa Kikabila, Kikanda na Kidini. Wouldnt you agree?
Katibu anamambo mengi.mengine anawagiza wafanye,unadhani sawa na mwenyekiti wetu hata choo tu kufunguliwa mlango anataka awe yeye.
 
Mkuu,
Mwanasiasa yoyote anapokuwa na chama cha siasa anaangalia odds za yeye kukua kisiasa away from mengineyo kama kukijenga chama nk.

Under ceteris peribus, Kijana kutoka kanda na dini yoyote(tofauti) ana probability ya kupewa equal chance na kukua kulingana na potential yake akiwa CCM kuliko akiwa CHADEMA

Alichokua anapigania Chacha Wangwe(RIP) alipotangaza nia ya kugombea uenyekiti unakikumbuka? Ilikua Empowerment ya chama mikoani kwa usawa na sehemu ya ruzuku kusaidia mikoani(almost ruzuku yote ilikua ikiishia Makao makuu), Zitto pia alikua na aim hiyo.
Aim yakutumwa
 
Zamani tuliaminishwa watu wa Arusha na Kilimanjaro ni watu wenye misimamo sana i.e ni watu wasioyumbishwa kwa misimamo , tumeshuhudia wabunge kadhaa waliokuwa upinzani wakihamia ccm chama ambacho kinaaminika kuwa na vilaza wengi kwenye taifa hili hivyo awamu ya Magufuli imewa prove otherwise.
 
Sasa kwani huyu Slaa na EL wapo Chadema? Kwani hujui walipo sasa? Kama kweli walikuwa wanakichukia toka moyoni hicho Chama tawala wangeenda huko? Usituaminishe kwamba hao ndio walikuwa wapinzani wakati wewe mwenyewe unashuhudia walipo sasa. Kwani kuikomoa Chadema ni kwenda CCM? Au kuikomoa Chadema ni kuwa waziri au mkuu wa wilaya au mkoa au ukatibu mkuu?

O.P
 
Wasalaam wakuu.
Nimekaa chini na kutafakari saga na hatimaye maamuzi ya kumfukuza Uanachama Zitto miaka almost mitano iliyopita na issue ya ‘Dogo janga’ mapema mwaka huu.
Kwanza, kama ni kweli ulikua mpango, basi niisifu intelligence ya CCM kwenye issue ya Ubunge wa Nassari, ulipangwa na kutekelezwa kwa ustadi wa hali ya juu. Ni kete ambayo Chadema/ Ukawa hawakuona ikichezwa, wamekua typical outclassed.
Je, kuna sababu tofauti na bias ya ukanda zilizosababisha swala la Nassari lisionwe na kushughulikiwa na Chadema mapema? Intelligence ya chama ilikua wapi kuliona hili? Viongozi na Wazee wa chama je?
Hata baada ya maamuzi ya kuvuliwa ubunge wake, bado kulikua na divided opinion ndani ya CHADEMA kuhusu Nassari, vijana makini kama Godlisten Malisa waliweka wazi wasiwasi wao kwa hoja kwamba ni issue staged lakini viongozi wakubwa bado wakaendelea kumuamini dogo janja, hii ikikua ni nafasi ya pili kwa intelligence ya chama kurekebisha makosa yao ( baada ya kushindwa ‘kuzuia’ hii blunder kutokea’) lakini inaonekana wali-side na Viongozi wakubwa walio bias , na uthibitishi wa hilo ni Nassari alivyopewa nafasi ya kufanya Press ofisi kuu ya chama Kinondoni na kutoa sababu dhaifu za kutoonekana bungeni ambazo actually zilikua ni insult kwa wapiga kura wake waliomtuma akawawakilishe Bungeni. Again, sababu kuu iliyoruhusu hili ni ile ile, bias kwa sababu ya Ukanda unaoendelea kuitafuna Chadema.
Issue ya Nassari ni big win kwa CCM na ni matokeo ya kuaminiana kikanda huku mkiamini watu wa maeneo mengine ndani ya Chama ni maadui zenu pale wanaonekana ambitious zaidi ndani ya chama, ukweli ni kuwa watu tofauti na wa kanda ‘ile’ ni walio contained na wasio ambitious.
Ukiachana na malalamiko mengine kuhusu ‘viti maalum’ and the likes, na despite ya makosa ambayo yawezekana Zitto aliyafanya ( kama waliyofanya kina Antony Komu dhidi ya Mayor Jacob, tuhuma za mwenyekiti Mbowe kutumia chama kama leverage kwenye issue zake za biashara, kufutiwa madeni etc na makosa ya viongozi wengine) bado dini na kanda ya Zitto vilisababisha issue yake iwe handled ilivyokua na karma will hit this party hard
 
Zitto kutumwa au kutaka kugombea uenyekiti ni kuua chama? Kivipi?
Yaani mwanachama wa chama cha kidemokrasia kutaka kugombea uenyekiti kwenye uchaguzi halali wa chama ni kuua chama?
Kama wanachama mlijua hilo kwanini asiachwe agombee afu msimpe kura ili baada ya afeli kidemocrasia? Why chama hakiku opt njia hii ambayo ni pure democratically ku eliminate threat ya kuua chama kama unavyosema?
Viongozi na wanachama wa Kanda ile hawakutaka Zitto agombee maana influence yake kati ya wanachama ni kubwa kuliko mwenyekiti na ungefanyika uchaguzi fair and square zitto angeshinda. Period
Zitto hana wasiwasi baada ya 2020 yeye ndo atakuwa na wabunge wengi bungeni jua kwamba wengi wa Zanzibar sasa ni ACT. Mbowe huu mchezo wa bungeni atamuachia Zitto.
 
..ukiniambia ccm kuna fursa nyingi na haswa zile za kiserekali nitakubali.

..lakini ndani ya chama, kwa nafasi zilizoko ktk chama, kijana akiwa cdm ana nafasi kubwa zaidi ya kibaji chake kuonekana kuliko anapokuwa ccm.

..Zitto, Mnyika, Mdee, wangekuwa ccm wangekuwa watu wa chini huko, lakini kwasababu walikwenda cdm leo hii wanajulikana kitaifa.

..Pia upinzani ni kwa ajili ya watu wenye hulka, imani, na misimamo fulani. Kutokana na ukandamizaji na uonevu wanaofanyiwa upinzani is not for everybody. Na ndiyo maana wale wanaopenda kupata madaraka na vyeo kirahisi-rahisi hawawezi kudumu ktk vyama vya upinzani.

..
Mkuu. Put some respect to Zitto name,
Sijui umetumia logic ipi but CCM ambayo wanasiasa wengi vijana wenye average political intelligence tena hata wale wasio na family connection wameweza kuthrive na sasa ni wanasiasa renowned nchini leo hii useme Zitto angekua mtu wa chini kwenye chama kilicho na wanasiasa wengi mediocres(na wengine smart) kama CCM?

Sijui unam rate vipi Zitto (pamoja na Kina mdee) mimi nadhani you are either over biased, you personally hate the guy au you cant recorgnize 'real', mkuu Pascal Mayalla waliwahi kutaja makundi 8 baada ya Zitto kufurushwa chadema. Kwa taarifa yako, hata wana Chadema walio 'reasonable' wanaomchukia Zitto wana acknowledge "Kipawa" chake na wengine wanadhani alitaka kutumia 'uwezo wake wa kipekee' kuvuruga chama. Yaani either you like or hate him people appreciate uwezo wa Zitto. je unajaribu kusema kwamba chama alichopo Zitto sasa si cha upinzani?

Kuwa na hulka, imani etc ni jambo moja kwa mpinzani, je siku ukitwaa madaraka how can you change things into a better way? kuorganize kupinga ni jambo moja je una uwezo wa kuongoza kwa kiasi gani? Zitto ni mtu mwenye hoja mbadala relevant zaidi kwenye almost kila issue ya kitaifa na almost kwenye kila nyanja, na roughly far ni mwanasiasa wa upinzani informed zaidi kwenye namna mambo yanavyoendeshwa currently na best alternative way on respective issues.

Viongozi wa Chadema wanajua 'uwezo' wa Zitto na ndio maana from time to time tangu 2016 wamekua waki side nae kwenye agenda za kitaifa, kwanini hawajaside na Mwigamba au wengineo waliowahi kufukuzwa Chadema?
 
..nai-rate ccm, sim-rate Zitto.

..Kafulila na Mtatiro wakati wako upinzani walikuwa ktk nafasi zenye influence kubwa kuliko walivyo ccm sasa hivi.

..Kijana kama anataka ku-practice siasa kwa uhuru na kupata exposure basi ni vizuri akajiunga na upinzani kuliko kwenda ccm.

..ccm kuna nafasi [ ukuu wa wilaya, wakurugenzi wa maendeleo, etc etc] nyingi, lakini hakuna room for growth, na hawa-accomodate uhuru wa mawazo.

..Ni suala la QUALITY vs QUANTITY.
 
We Mossad 3, tumia muda kutafakari mpasuko ulioko chama chenu na jinsi ya kukinusuru na acha kupoteza muda wako kufikiria mambo ya CHADEMA. Hayakuhusu. Pilipili usiyoila inakuwasha nini?

Mimi siko chama chochote, am a concerned citizen na maoni yangu ni huru na nayatoa kulingana na utashi wangu bila bias kwa chama chochote
 
Back
Top Bottom