CHADEMA ingekuwa na Wanachama wengi Chanjo zilizoletwa zingekuwa zimeisha kwa sababu walihitaji kuchanjwa wote

Mama Samia kasema mkachanje,sasa CCM mmeshindwa kuzimaliza?
Au mama Samia sio mwenyekiti wa chama dume?
Ccm wanaamini kuchanja ni hiari,

Vipi nyie bavicha hamfiki milioni makashambulie zile chanjo chap ziishe maana mlikuwa mnatukana sana Magu kwamba kwanini haleti chanjo
 
Ccm wanaamini kuchanja ni hiari,

Vipi nyie bavicha hamfiki milioni makashambulie zile chanjo chap ziishe maana mlikuwa mnatukana sana Magu kwamba kwanini haleti chanjo
Sasa huoni ni jambo jema kwamba chanjo zimekuja kama hao uliowataja walivyohitaji??
Wengine tulishachanja kitambo tena sio hizi J&J!
 
Hivi kila siku hawa viumbe wanasema chadema imekufa lakini kila siku wao na chadema tu, ambacho hawajui kuwa kama chadema ikifa hata vibarua vyao vinakufa, sidhan kama fisiemu itaendelea kuwapa buku 7 kwa ajili ya kupinga Act au Chauma
 
Mimi siyo mpinga chanjo ila haimaanishi nikubali tu kizembe kwaasili inaonesha wew nimuongoni wale wa ndiiooo kila kitu. nikushauli usitumie tu hiari yako Kama unavyonishauri tumia pia ubongo wako vizuri fanya hata research kidogo kuhusu haya Mambo siyo tu kukurupuka tu itakusaidia trust me
Mimi nimechanja na ni nyoongeza ya chanjo mojawapo miongoni mwa chanjo nyingi nilizokwisha chanja Hadi sasa.
 
Hivi kila siku hawa viumbe wanasema chadema imekufa lakini kila siku wao na chadema tu, ambacho hawajui kuwa kama chadema ikifa hata vibarua vyao vinakufa, sidhan kama fisiemu itaendelea kuwapa buku 7 kwa ajili ya kupinga Act au Chauma
Kwahiyo nyie ni kama WATANI WA JADI
CCM ni Simba au Yanga
CDM ni Lipuli fc au Mbagala market sio?
 
Kwahiyo nyie ni kama WATANI WA JADI
CCM ni Simba au Yanga
CDM ni Lipuli fc au Mbagala market sio?
Ccm ndiyo wanaiogopa Chadema, kila siku wanasema imekufa lakini haiwakauki midomoni mwao, Jiwe alisema ataiua lakini akatangulia yeye mwenyewe kwenda kuzimu
 
Back
Top Bottom