CHADEMA inavyoliangamiza Taifa!

Threads za UHARO!! zinanuka sana kama hii!! toa tafadhali huu uchafu!!
 
kweli ww ni KADOGOO na akili yako pia ni KIDOGOO uwezo wako wa kufikiria ni MDOGOO na mawazo yako pia ni MGANDOO.
 

Ushauri wako sitaki,
 
kama kweli maneno yako yengekuwa na maana watu wasingjitokeza kwenda barabarani kuomboleza.haya yote yasingelitokea kama CCM wangefanya uchaguzi wa haki
 
Too late man! Kwa sasa hatuhitaji propaganda za kijinga tunahitaji mabadiliko ya kweli. CCM mmeshindwa kuyaleta sasa mnaona wivu Chadema wakileta eeh? poleni. Moshi ni watulivu kwa sababu wamejielewa mapema wakaitupilia mbali CCM kitamboooo
 
Kumbe Kamishna Paul CHAGONJA ni CDM?
 

Wewe unatumiwa na mafisadi!
 

Peleka wazimu wako huko.....Mbafu kabisa..
 
Watu wa Arusha (Wamasaai)mliwafanya maonyesho kama wanyama kwa watalii kwa miaka nenda miaka rudi, sasa wamejitambua mnaanza kuwa fukuza Ngorongoro na kuwapiga mabomu na risasi kama tembo. Kwa sababu hiyo mnazidi kuwakoroga kwa kudhani mabomu na risasi zitashinda, amini amini nawaambieni CCM, siku zenu zinahesabika maana walikwisha sema "Maasai hakimbii mara mbili", watapambana mpaka kieleweke!
 

msnge wewe.......kaliwe
 

We ni f****C***u*** kweli maliberali mnakazi kweli
 
ndugu yangu natumai umeandika hayo ukiwa na yakini na uyasemayo...kama ndivyo basi hebu tuthibitishie kuwa CDM ndio wana wataabisha wana Arusha. Nategemea uniridhishe na ripoti ya yoyote ya chombo cha ulinzi na usalama.
 

Kwa kuwa umauti haujakufika wewe binadamu ndio sababu wawacheka waombolezao, hujui siku zako zikiwa nyingi sana ni miaka sabini je utaishi milele ukitawala hao binadamu uwatisaho. Ubinadamu wetu ni pale tunapotofauiana na mnyama (Utashi) uwezo wetu wa kufikiria na kuwa na huruma, na kuchukuliana kwa madhaifu yetu. CDM hawakufanya baya kukusanyika na kusikiliza sera za kwenye mkutano wa udiwani. Angalia watoto wadogo waliotumwa dukani wakavutiwa na mkutano sasa wamekufa, wamekosa nini. Ni kwa nini hatutaki ukweli uwe bayana badala yake tupo kwenye key board tulieneza mambo yasiyo na uhakika huku vyombo tunavyogharamia kwa kodi yetu vikiwa vimekaa kimya kusikiliza nini twasema. Polisi ile damu haichagui nani kafanya lazima watu wale wapate haki zao either CDM au chama chochote TISS/vyombo vya usalama leteni taarifa. Tusiwe wajinga wa kutegemea silaha iangamizayo mwili huku tukisahau roko milioni ziumizwazo na mabo yasioyakimnika.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…