CHADEMA inarudi zama za mateso

CHADEMA inarudi zama za mateso

Ukiangalia CHADEMA mwaka 2015 ilipata kura mil 6 si kua ina wafuasi hao ukiigawanya hiyo mil 6 unaipata hapa mil 2.5 CHADEMA 1.5 ni wale wasio na chama na wengine walipiga kura za hasira kwa sababu lowassa kakatwa CCM na hawa mil 2 ni CUF hivyo ukijumlisha unapata mil 6 je kwa hali ilivyo sasa chadema wanauwezo wa kupata kura hizo.

CCM wameshakaa sawa kama mnavyoshuhudia kila kukicha wimbi la hama hama wale wenye hasira wameshaamua kurudi. CUF ipo tayari kusimama yenyewe bila mwamvuli wa ukawa naiona CHADEMA ikirudi kwenye zama zake za shida na mateso kwa hesabu hizi hata CHADEMA wakiambiwa wasimamie wao huo uchaguzi kama wanavyodai kuibiwa watajikana au wamlete uhuru Kenyatta kusimamia ni aibu.

Swali ni je CHADEMA ina uwezo wa kufikisha kura mil 6 kwa hali ilivyo sasa ni ndoto!
Mwisho wa CHADEMA unatabiriwa kila kukicha lakini haufiki!!
Ndani ya CHADEMA kuna shida kubwa lakini pia ndani ya CCM kuna shida ila shida kubwa kuliko zote ipo ndani ya vichwa vya Watanzania.
Chadema wamelalamika sana hasa kuhusu uchaguzi,kuna tunayoungana nao kama fujo na hila za kutoa mawakala vituoni lakini nao watupe ushirikiano kwa kuonyesha ushahidi kama wa kuibiwa kura.Kwa kina Lijualikali tunaambiwa CDM ilishinda wazi lakini hata hiyo copy ya matokeo kutuwekea hapa hakuna.
Jambo la pili kwa CDM ni kukosa mtu mwenye authoritative voice kama ya Lissu au Slaa.Maazimio hayawasilishwi katika sauti inayostahili (Ila Benson Kigaila,hili ni jembe).
Kwa CCM na upofu uliotukuka wanaamini na wanaaminishana ya kuwa kuna wakati upinzani utakufa,hii ni ndoto ya mchana na wanachoweza ni kubadili aina ya upinzani kutoka wa hoja kuwa wa maguvu.Bila changamoto zinazoletwa na upinzani kwa hulka ya binadamu ni kuwa watalala.JPM kama ana dhamira ya dhati ya kuitakia nchi mema ni lazima ahakikishe ana upinzani wenye nguvu utakaomsaidia kusafisha nchi pia chama chake ambacho hakiwezi kujiweka kando na uchafu wote tunaouona leo.
Kwa Watanzania wenzangu,maendeleo yote yanayoonekana leo yanatokana na upinzani na hofu ya Chama tawala kutoka madarakani.Tujenge upinzani imara ili tuendelee kupata maendeleo ya kweli!!!!
Kwa Waislamu,"Ukiona katika mji hakuna kuhitilafiana katika mawazo basi jua mji huo hauna Maulamaa (Wasomi).
Nawasilisha.
 
Mlezi wa Chadema tangu kastaafu 2015 Chadema inapitia kipindi kigumu sana!

Makamanda Uchwara wote Siku hizi ni mwendo wa kurekodi clips na ku upload kwny Mitandao Hakuna cha zaid

Tulikuwa tunawaambia ujasiri wa kina Mbowe ulitokana na Mazingira Rafiki ya Kidemokrasia 2005-2015 sio Ujasiri wao halisi, Mbona Sasa wameufaya!

Kamanda wa Mapambano huthibitisha Ukamanda wake wakati wa Vita sio wa amani!
Nakubaliana na wewe kwa kiasi kikubwa. Ni kweli kulikuwa na mazingira rafiki ya demokrasia kipindi hicho. Sasa mambo yamebadilika lakini wao bado hawabadiliki. Walipokubali UKUTA uvunjwe na wao wakanywea, hapo ndipo mambo yalipoanza kuharibika. Demokrasia ina gharama na viongozi wa upinzani hawako tayari kulipa hiyo gharama.
 
Washawishi viongoz wako walete katiba mpya,afu uje useme hayo maneno kama hujayakana mwenyewe
Mkuu katiba mpya sio itakayopiga kura,ila ATITUDE of mind ndicho kitakuwa kigezo,hivi unamchana mtu miaka minane kuwa ni fisadi PAPA LA MAPAPA,halafu dakika ya lala salama unalisafisha kuwa ni takatifu,na lanasimama kutaka ridhaa ya kuongoza nchi,nani atakusikiliza ? Katiba mpya itaruhusu watu wasiowaadilifu kugommbea urais ?
Unatakiwa kuweka mtu sahihi sehemu sahihi kwa mapana sahihi ndani ya chama sahihi.
 
CHADEMA ndiye mla rushwa mkubwa, CHADEMA ndio walioifikisha pabaya nchi hii, CHADEMA ndio walioitumbukiza shimoni elimu ktk taifa hili, CHADEMA ndio waliotuingiza kwenye mikataba mibovu na wawekezaji/wezi, CHADEMA ndio adui mkubwa nchi hii... Tupambane nao kwa kila hila na kwa nguvu zote.
 
Ukiangalia CHADEMA mwaka 2015 ilipata kura mil 6 si kua ina wafuasi hao ukiigawanya hiyo mil 6 unaipata hapa mil 2.5 CHADEMA 1.5 ni wale wasio na chama na wengine walipiga kura za hasira kwa sababu lowassa kakatwa CCM na hawa mil 2 ni CUF hivyo ukijumlisha unapata mil 6 je kwa hali ilivyo sasa chadema wanauwezo wa kupata kura hizo.

CCM wameshakaa sawa kama mnavyoshuhudia kila kukicha wimbi la hama hama wale wenye hasira wameshaamua kurudi. CUF ipo tayari kusimama yenyewe bila mwamvuli wa ukawa naiona CHADEMA ikirudi kwenye zama zake za shida na mateso kwa hesabu hizi hata CHADEMA wakiambiwa wasimamie wao huo uchaguzi kama wanavyodai kuibiwa watajikana au wamlete uhuru Kenyatta kusimamia ni aibu.

Swali ni je CHADEMA ina uwezo wa kufikisha kura mil 6 kwa hali ilivyo sasa ni ndoto!
Yani wew uliyetoa hii mada upo serious au mihemko?
 
Mwisho wa CHADEMA unatabiriwa kila kukicha lakini haufiki!!
Ndani ya CHADEMA kuna shida kubwa lakini pia ndani ya CCM kuna shida ila shida kubwa kuliko zote ipo ndani ya vichwa vya Watanzania.
Chadema wamelalamika sana hasa kuhusu uchaguzi,kuna tunayoungana nao kama fujo na hila za kutoa mawakala vituoni lakini nao watupe ushirikiano kwa kuonyesha ushahidi kama wa kuibiwa kura.Kwa kina Lijualikali tunaambiwa CDM ilishinda wazi lakini hata hiyo copy ya matokeo kutuwekea hapa hakuna.
Jambo la pili kwa CDM ni kukosa mtu mwenye authoritative voice kama ya Lissu au Slaa.Maazimio hayawasilishwi katika sauti inayostahili (Ila Benson Kigaila,hili ni jembe).
Kwa CCM na upofu uliotukuka wanaamini na wanaaminishana ya kuwa kuna wakati upinzani utakufa,hii ni ndoto ya mchana na wanachoweza ni kubadili aina ya upinzani kutoka wa hoja kuwa wa maguvu.Bila changamoto zinazoletwa na upinzani kwa hulka ya binadamu ni kuwa watalala.JPM kama ana dhamira ya dhati ya kuitakia nchi mema ni lazima ahakikishe ana upinzani wenye nguvu utakaomsaidia kusafisha nchi pia chama chake ambacho hakiwezi kujiweka kando na uchafu wote tunaouona leo.
Kwa Watanzania wenzangu,maendeleo yote yanayoonekana leo yanatokana na upinzani na hofu ya Chama tawala kutoka madarakani.Tujenge upinzani imara ili tuendelee kupata maendeleo ya kweli!!!!
Kwa Waislamu,"Ukiona katika mji hakuna kuhitilafiana katika mawazo basi jua mji huo hauna Maulamaa (Wasomi).
Nawasilisha.
Upinzani imara ulishajengwa lakini ilipofika 2015 na kumi na tano chadema walipoamua kuokota silaha yeyote ili waingie ikulu upinzani imara ndipo ulipokufa rasmi sasa kuna waganga njaa tu!
 
Naona sasa mnaamua kuonyesha hisia zenu ila mtambue ya kwamba upinzani lazima uwepo kama nafikiri kwa kutumia kitu tofauti na ubongo - kichwa basi ni wakuwaonea huruma tu

Ndio maana mzee kifimbo aliwaambia hasa wanaotoka kwenu ndio maana mtu akitoka kwenu tu mnaanza kumwandalia lukuki wa tuhuma mara tulimfukuza kisirent
 
Kaka kipara kipya, fahamu kuwa wimbi la hama hama ni sawa na tufani ndani ya bahari. Na kawaida ya tufani, mwelekeo hubadilika , hivyo usishangae upepo huo huo Siku zijazo ukavuma toka magharibi kuelekea ulikotoka. Hiyo ndiyo kawaida ya tufani. Sand glass hour huwa inageuzwa mchanga unapoisha katika chumba kilicho juu, na kilicho chini kuwa juu.(angalia avatar yangu hapo juu, hiyo ni ancient clock).wengine husema time will tell.
 
Ni kweli kabisa sema mtasubiri kama fisi linaweza tokea wote tukiwa tumekufa lakini kwa uongozi huu wa mwenyekiti wa kudumu mkuu!
 
Angalia usikufuru, hakuna wa kudumu hapa duniani. Acha, Mwenyekiti, hata ccm wenyewe haitadumu milele na hilo unalijua hakika uwe Mkrsto, uwe Mwislamu, uwe mwabudu mizimu .
 
Hata hizo milioni 6,waliiba kwa kudukua mtandao
2020 wakipata wabunge 5 wakachinje jogoo
Kwa haya yaliyotokea katika kata 43,vitimbi,ma DED,Polisi na wasiojulikana ni wazi kuwa CCM itachukua kila kiti.
 
Ukiangalia CHADEMA mwaka 2015 ilipata kura mil 6 si kua ina wafuasi hao ukiigawanya hiyo mil 6 unaipata hapa mil 2.5 CHADEMA 1.5 ni wale wasio na chama na wengine walipiga kura za hasira kwa sababu lowassa kakatwa CCM na hawa mil 2 ni CUF hivyo ukijumlisha unapata mil 6 je kwa hali ilivyo sasa chadema wanauwezo wa kupata kura hizo.

CCM wameshakaa sawa kama mnavyoshuhudia kila kukicha wimbi la hama hama wale wenye hasira wameshaamua kurudi. CUF ipo tayari kusimama yenyewe bila mwamvuli wa ukawa naiona CHADEMA ikirudi kwenye zama zake za shida na mateso kwa hesabu hizi hata CHADEMA wakiambiwa wasimamie wao huo uchaguzi kama wanavyodai kuibiwa watajikana au wamlete uhuru Kenyatta kusimamia ni aibu.

Swali ni je CHADEMA ina uwezo wa kufikisha kura mil 6 kwa hali ilivyo sasa ni ndoto!
Hayo ni mawazo yako.
 
Inarudi ama inarudishwa kibabe; chochote kile kisichofuata sheria; kanuni na taratibu ni fujo za kibabe na huwa hakina baraka hence hakidumu.

CDM kwenye hili wameonyesha ukomavu na unyenyekevu mkubwa kisiasa.

Pesa hutawala kwa muda tu ila HAKI hutawala milele ingawa ina kawaida ya kucheleweshwa.
 
Angalia usikufuru, hakuna wa kudumu hapa duniani. Acha, Mwenyekiti, hata ccm wenyewe haitadumu milele na hilo unalijua hakika uwe Mkrsto, uwe Mwislamu, uwe mwabudu mizimu .
Rudi usome tena nimeandika nini!
 
Back
Top Bottom