kipara kipya
JF-Expert Member
- May 2, 2016
- 20,142
- 24,435
Ukiangalia CHADEMA mwaka 2015 ilipata kura mil 6 si kua ina wafuasi hao ukiigawanya hiyo mil 6 unaipata hapa mil 2.5 CHADEMA 1.5 ni wale wasio na chama na wengine walipiga kura za hasira kwa sababu lowassa kakatwa CCM na hawa mil 2 ni CUF hivyo ukijumlisha unapata mil 6 je kwa hali ilivyo sasa chadema wanauwezo wa kupata kura hizo.
CCM wameshakaa sawa kama mnavyoshuhudia kila kukicha wimbi la hama hama wale wenye hasira wameshaamua kurudi. CUF ipo tayari kusimama yenyewe bila mwamvuli wa ukawa naiona CHADEMA ikirudi kwenye zama zake za shida na mateso kwa hesabu hizi hata CHADEMA wakiambiwa wasimamie wao huo uchaguzi kama wanavyodai kuibiwa watajikana au wamlete uhuru Kenyatta kusimamia ni aibu.
Swali ni je CHADEMA ina uwezo wa kufikisha kura mil 6 kwa hali ilivyo sasa ni ndoto!