. nikaona cdm tu inakosa organisation ila ina watu.
CDM haihitaji kuwa na matawi kama ya CCM huo nimfumo ulio pitwa na wakati.........
CDM haihitaji kuwa na matawi kama ya CCM huo nimfumo ulio pitwa na wakati.........
acha unazi wewe wacha watu waseme ili viongozi wajirekebishe haswa ukizingatia haya ni maeneo ya MnyikaHii haiwezekani chini ya uongozi thabiti wa mtu huru mbowe, slaa na wengine wengi, futa msemo wako kwanza.
Hii habari ilishadadavuliwa humu jukwaani!
Hata nccr mageuzi ilikuwa hivi.