Ni mtazamo wangu. Sina mashaka na Muungano wa vyama hivi. Shida yangu ni mfumo wa ndoa yao.
Uchumba wao sijauelewa vizuri, nani mke na nani mme.
Maana hapo zimeungana nguvu mbili, nguvu ya .... Na kiliberali. Nasubiri kuona uchaguzi wa serikali za mitaa na uchaguzi mkuu kama ndoa itakuwa salama.
Naomba mwenye uzoefu na Mambo haya atusaidie historia ya Muungano wa Mafahari zaidi ya wawili na Mwisho wake. Upinzani Tanzania unakufa,. Muungano ungekuwa Mzuri wangeanzisha chama Kingine na kuua vyote vya awali. Lakni kwa mkutadha huu ni usanii.
baada ya hapo?Huu unao uita muungano ni kwa ajili ya kupigania katiba bora tu maana swala la katiba liko juu ya itikadi za kisiasa.
Uroho wa chadema tu, kwa hiyo mambo mengine yanafaa ubinafsi? Mfano kuunda kambi ya upinzani bungeni kunahitaji ulafi?Huu unao uita muungano ni kwa ajili ya kupigania katiba bora tu maana swala la katiba liko juu ya itikadi za kisiasa.
Wanarudi kwenye uroho wao na ubinafsi km kawaidabaada ya hapo?
Una tindikali hapo? Km umeishiwa hebu chukua hapi kwa henry kileo au hata sumu kwa sanane au lwakataremaccm mtaweweseka sana mwaka huu na hayo mawazo yenu ya CDM KUFA,mtasubiri sana na mtakufa nyie kifo kitakatifu.MMETUNYONYA SANA,MMETUDHARAU SANA,MMETUIBIA SANA RASLIMALI ZETU KWA FAIDA YA MATUMBO YENU,MMETUDHALILISHA SANA NA SASA TUNASEMA INATOSHA 2015 AMA ZENU AMA ZETU
Chadema inakufa