Kaka mwisho
JF-Expert Member
- Dec 19, 2011
- 408
- 182
pamekuwa na maneno mengi sana kuhusu chama cha chadema kinavyoendesha shughuli zake. Tunawaomba wenye mapenzi ya dhati na chama chetu mtuambie chochote ambacho si kizuri kwa maendeleo ya chama NA NINI TUFANYE ILI CHAMA KIZIDI KUWA IMARA ILI IFIKAPO 2015 KISHIKE DOLA KWANI UWEZO NA NIA KINAYO. PEOPLE'S POWER FOREVER
Mkuu naona tambi zinalewesha siku hizihv kwa nin kuna vijamaa humu jf vina udin vinapandhkizia kwa cdm ngoja mgombea wa ccm awe mkristo cjui vitaenda wap duu!
Tuambie basi wapi tunapaswa kupeleka maoni yetu? Kuyaweka hapa nomaaaa magamba watayachota kama yalivyo na kuyafanyia kazi (si unajua hawana sera wanangoja kuona CHADEMA inafanya nini ili nao waige) .
Mie yangu nimeshafikisha baadhi na bahati nzuri niliyemtumia ameyapokea vizuri sana na kunipa moyo zaidi wa kuendelea kufanya hivyo.

acheni udini, ukabila, ukaskazin na huyo kijana ache ufisadi maana ruzuku yote inaishia kwenye matumbo ya watu na sio kujenga chama.halafu tabia ya kumchamfua zitto kwa kuhofia uwezo acheni.
acheni udini, ukabila, ukaskazin na huyo kijana ache ufisadi maana ruzuku yote inaishia kwenye matumbo ya watu na sio kujenga chama.halafu tabia ya kumchamfua zitto kwa kuhofia uwezo acheni.
Hakuna ukabila na ukasikazini ndugu yangu CHADEMA ni ya watanzania maana kila pembe ya nchi kimekubalika, Pwani kawe na Ubungo, Kaskazini Arusha na Moshi, Kanda ya Ziwa Mwanza na Shinyanga na hata Musoma, Magharibi, Mpanda na Kigoma, Nyanda za Juu Mbeya na Iringa, Kati Singida sasa nchi wewe unaigawaje? Labda mimi sielewi nielewesheacheni udini, ukabila, ukaskazin na huyo kijana ache ufisadi maana ruzuku yote inaishia kwenye matumbo ya watu na sio kujenga chama.halafu tabia ya kumchamfua zitto kwa kuhofia uwezo acheni.
safi sana mkuu kwa kutoa ufafanuzi,maana majingajinga mengi yanapandikiza chuki ili wtz tuikose imani kwa chama kiongozi.CDM MWENDO MDUNDO MPAKA KIELEWEKE.Hakuna ukabila na ukasikazini ndugu yangu CHADEMA ni ya watanzania maana kila pembe ya nchi kimekubalika, Pwani kawe na Ubungo, Kaskazini Arusha na Moshi, Kanda ya Ziwa Mwanza na Shinyanga na hata Musoma, Magharibi, Mpanda na Kigoma, Nyanda za Juu Mbeya na Iringa, Kati Singida sasa nchi wewe unaigawaje? Labda mimi sielewi nieleweshe
Hakuna ukabila na ukasikazini ndugu yangu CHADEMA ni ya watanzania maana kila pembe ya nchi kimekubalika, Pwani kawe na Ubungo, Kaskazini Arusha na Moshi, Kanda ya Ziwa Mwanza na Shinyanga na hata Musoma, Magharibi, Mpanda na Kigoma, Nyanda za Juu Mbeya na Iringa, Kati Singida sasa nchi wewe unaigawaje? Labda mimi sielewi nieleweshe
hv kwa nin kuna vijamaa humu jf vina udin vinapandhkizia kwa cdm ngoja mgombea wa ccm awe mkristo cjui vitaenda wap duu!
Ungejitambulisha kwa jina lako la ukwlei tungekuelewa zaidi..pamekuwa na maneno mengi sana kuhusu chama cha chadema kinavyoendesha shughuli zake. Tunawaomba wenye mapenzi ya dhati na chama chetu mtuambie chochote ambacho si kizuri kwa maendeleo ya chama NA NINI TUFANYE ILI CHAMA KIZIDI KUWA IMARA ILI IFIKAPO 2015 KISHIKE DOLA KWANI UWEZO NA NIA KINAYO. PEOPLE'S POWER FOREVER