SAGAI GALGANO
JF-Expert Member
- Nov 13, 2009
- 50,081
- 75,446
CHADEMA kwa sasa haina dira wala mwelekeo wowote ipo tu inaishi kwa kuokoteza habari za magazetini na mitandaoni na matukio.NI kijiwe tu cha umbeya siku hizi
Usisahau mbunge wa jimbo LA Hai kilimanjaro Freeman mbowe mkazi wa kudumu wa Dar es salaamRais wa Mwanza anaeishi Dar Es Salaam.
Jibu maswali haya
1. Umasikini umepungua kwa kiwango gani sasa?
Usiwe mvivu wa kusoma majarida na machapisho ya BOT, TRA na TBS pamoja na majarida ya nje km The Economist, IFM, WB, nk
2. Ajira zimepungua kivipi? Tangu 2016 wahitimu wa Elimu ya Sanaa hawajaajiriwa hadi sasa
Rejea jibu langu hapo juu na kuhusu ajira ya hao wahitimu, kama wewe ni mmoja wa hao ambao hajaajiriwa, jiajiri mwenyewe kwa kuwa mtunzi wa riwaya za filamu au maigizo au jiunge na vikundi vilivyopo vya sanaa. Tumia kichwa chako.
3. Mumenunua madiwani Arusha, mkapewa uthibitisho juu hiyo Rushwa baadae mkakiri kuhusika na hiyo Rushwa lakini kwa sababu ninyi ndio mnapambana na Rushwa hiyo mkaona sio Rushwa na muhusika mkamzawadia Cheo kingine zaidi alichokuwanacho, Sasa mnapambana na Rushwa ipi?
Kama viongozi wa upinzani wanaweza kununulika basi upinzani haufai kuongoza nchi hii!
4. Utekaji, utesaji, uuaji, kutishia viongozi silaha mchana kweupe, kushambulia watu na Risasi mchana kweupe, uokotwaji wa maiti pembezoni wa fukwe ya bahari hiyo ndio Amani mnailinda kwa wananchi?
Weka ushahidi usio na shaka, ueleweke
1. Unataka tujibizane kwa hoja, lakini hoja zako zipo kabatini, zilete hapa tuzione, unafikiri wakati wa kuomba kura utaenda kumwambia mwananchi nenda kasome jarida ili upate jibu la swali lako? Sishangai kwa sababu mtaji wenu ni hao ambao hawawezi kusoma hivyo vitu.Soma majibu yenye maandishi mekundu
1. Unataka tujibizane kwa hoja, lakini hoja zako zipo kabatini, zilete hapa tuzione, unafikiri wakati wa kuomba kura utaenda kumwambia mwananchi nenda kasome jarida ili upate jibu la swali lako? Sishangai kwa sababu mtaji wenu ni hao ambao hawawezi kusoma hivyo vitu.
2. Mlituambia mtatupa ajiri hamkutuambia tukiwapa kura tutajiajiri.
3. Haujajibu swali
Narudia.
Mnapambana na Rushwa ipi? Ambayo ya akina Mnyeti sio Rushwa
4. Roma mkatoliki, Nape Nnauye, Tundu Lissu, Maiti 7 coco beach
Walizoea kuishi ki pedeshee sasa mirija imekatwa wanataka uhiru ili waiunge tena waendelee na maisha ya ukwasiinaamini kwa miaka kumi tutakuwa tunavaa viraka kama enzi za mwalimu na nchi haina kichwa kwa sasa
Naomba ufafanue namba 1, 3 na 4 kwenye post uliyo qoute kama ulivyofafanua namba 2.Mtaishia kutupa lawama za hisia, uwongo, uzushi na kukata tamaa, ati Mlituambia mtatupa ajiri hamkutuambia tukiwapa kura tutajiajiri.
Kama ubongo wako unaishi kiutegemezi huwezi kuyaona mabadiliko ya kijamii, kisiasa, kiuchumi na kimaendeleo yakiendelea kufanyika.
Upinzani utakapo zinduka ni mwaka 2025 wa Tanzania mpya. Kwa sasa hivi endeleeni na hizo siasa majitaka za mitandaoni nyuma ya 'keyboard' na 'ID' feki. Unaonesha kwamba hujui kinachoendelea katika nchi yako. Kwa kuwa hujui kama hujui, nikusamehe tu.