CHADEMA ina Madiwani wangapi nchi nzima?

Naelewa kwamba Chadema ina mbunge mmoja wa kuchaguliwa na wabunge 19 wa viti maalumu.

Ila kwa upande wa madiwani sijajua wako wangapi, ndiposa naomba kujua ili niweke sawa records zangu.

RIP Magufuli.

Dominica njema!
CHADEMA walishasema hawana mbunge, diwani wala Mwenyekiti wa mtaa
 
Naelewa kwamba Chadema ina mbunge mmoja wa kuchaguliwa na wabunge 19 wa viti maalumu.

Ila kwa upande wa madiwani sijajua wako wangapi, ndiposa naomba kujua ili niweke sawa records zangu.

RIP Magufuli.

Dominica njema!
Muulize JPM
 
Kwa uchaguzi UPI? Mwaka 2015 hatukuwa na uchaguzi bali uchafuzi.
 
Naelewa kwamba Chadema ina mbunge mmoja wa kuchaguliwa na wabunge 19 wa viti maalumu.

Ila kwa upande wa madiwani sijajua wako wangapi, ndiposa naomba kujua ili niweke sawa records zangu.

RIP Magufuli.

Dominica njema!
Madiwani tiliwaachieni Jo kwani mliitamani tz ya kijani
 
HuYo wakwenu kama mlivyo wakodi covid19
Hao 19 unaweza kusema kwa kuwa walimzunguka JJ wakapitia kwa mwenyekiti, lakini Aida ni halali kabisa 100%! Najua aliwaudhi baada ya kutaka asiende bungeni akakataa.
 
Huyo mlipewa na mafweza na covid 19 mlipewa na Mzee was bakora, au wewe unasemajee?
 
Naelewa kwamba Chadema ina mbunge mmoja wa kuchaguliwa na wabunge 19 wa viti maalumu.

Ila kwa upande wa madiwani sijajua wako wangapi, ndiposa naomba kujua ili niweke sawa records zangu.

RIP Magufuli.

Dominica njema!
Nenda kwenye ofisi za tume ya uchaguzi utapata jibu sahihi, huenda wengine wamefariki au wameacha ila hatujatangaziwa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…