THE BIG SHOW
JF-Expert Member
- Feb 28, 2012
- 16,365
- 12,823
Mzee Tupatupa we siyo mwanachama mwenzetu...........sisi ccm tunajipongeza kwa kushinda kata nyingi....hizo zingine siyo kwamba tulishindwa.......bali tumewahurumia chadema waambulie japo..............hahaaaaaaaaaaa
usalama wako hakikisha daftari lisiboreshwe mkuu daftari jipya utokiIkiwa hatua zenyewe ndio hizo na 2015 ndio hiyo, sijui mtafika lini mwisho wa safari?