mzee wa mawe
Senior Member
- Aug 2, 2011
- 151
- 15
KAMPUNI ya Export Trading, imesema kambi ya upinzani Bungeni, imelidanganya Bunge kuwa inamilikiwa na mshitakiwa wa wizi wa mabilioni ya fedha kwenye Akaunti ya madeni ya Nje (EPA), Jeetu Patel. pia kampuni hiyo ya upinzani, inayoongozwa na wabunge wa chadema, kwa spika wa Bunge, Anne Makinda, ili awachukulie hatua zinazostahili.
"Jeetu patel hahusiki kwa namna yoyote na kampuni hii. kampuni imeshtushwa na taarifa hiyo kutolewa mbele ya moja ya mihimili ya utawala wa nchi yetu bila kuchunguza ukweli" alisema jana Balozi Ramia Abdiwawa, kwa niaba ya mkurugenzi mtendaji wa kampuni hiyo.
Kauli ilikuja baada ya Mdee, kushutumu kitendo cha serikali kuwanyang'anya ardhi wakulima wadogo sehemu mbalimbali nchini na kuwamilikisha vigogo, ikiwamo kampuni hiyo ambayo alidai inamilikiwa na Jeetu Patel.
Soma MWANANCHI
Hivi ni kweli CDM ni kampuni? mimi siku zote najua ni NGO
Ni kama ambavyo Rostam Azziz anavyomiliki makampuni zaidi ya kumi
lakini hakuna jina lake kwenye kampuni hizo, ndivyo ilivyo kwa Jeetu Patel
kuwa mmiliki kwenye kampuni hiyo bila kuwemo jina lake.
Kwani unafikiri janja yao haijulikani? Sidhani kama Chadema watakuwa
wamekurupuka kwa vyovyote wana evidence. Wapeleke kesi mahakamani
kama wanadhani wameonewa...
KAMPUNI ya Export Trading, imesema kambi ya upinzani Bungeni, imelidanganya Bunge kuwa inamilikiwa na mshitakiwa wa wizi wa mabilioni ya fedha kwenye Akaunti ya madeni ya Nje (EPA), Jeetu Patel. pia kampuni hiyo ya upinzani, inayoongozwa na wabunge wa chadema, kwa spika wa Bunge, Anne Makinda, ili awachukulie hatua zinazostahili.
"Jeetu patel hahusiki kwa namna yoyote na kampuni hii. kampuni imeshtushwa na taarifa hiyo kutolewa mbele ya moja ya mihimili ya utawala wa nchi yetu bila kuchunguza ukweli" alisema jana Balozi Ramia Abdiwawa, kwa niaba ya mkurugenzi mtendaji wa kampuni hiyo.
Kauli ilikuja baada ya Mdee, kushutumu kitendo cha serikali kuwanyang'anya ardhi wakulima wadogo sehemu mbalimbali nchini na kuwamilikisha vigogo, ikiwamo kampuni hiyo ambayo alidai inamilikiwa na Jeetu Patel.
Soma MWANANCHI
Basi ni dhahiri kwamba Chama chenu na serikali inayoiongoza ni wa Hovyohovyo kama wanaweza kunyimwa usingizi na kupelekwa puta na NGO. Au ndio maana hata kampuni ya mafuta inaweza kuipa amri serikali ya saa 24 kutekeleza jambo na serikali ikagwaya? Kama usemavyo kuwa CDM ni NGO ni kweli, basi CCM na serikali yake itakuwa ni genge la wahuni. Na hicho kitakuwa kilio kwa waTZHivi ni kweli CDM ni kampuni? mimi siku zote najua ni NGO
Ulitegemea wakubali kuwa ni kweli wanamilikiwa ha huyo bwana? Kweli tz bado elimu ya watu wazima inahitajika!

Hivi ni kweli CDM ni kampuni? mimi siku zote najua ni NGO
KAMPUNI ya Export Trading, imesema kambi ya upinzani Bungeni, imelidanganya Bunge kuwa inamilikiwa na mshitakiwa wa wizi wa mabilioni ya fedha kwenye Akaunti ya madeni ya Nje (EPA), Jeetu Patel. pia kampuni hiyo ya upinzani, inayoongozwa na wabunge wa chadema, kwa spika wa Bunge, Anne Makinda, ili awachukulie hatua zinazostahili.
"Jeetu patel hahusiki kwa namna yoyote na kampuni hii. kampuni imeshtushwa na taarifa hiyo kutolewa mbele ya moja ya mihimili ya utawala wa nchi yetu bila kuchunguza ukweli" alisema jana Balozi Ramia Abdiwawa, kwa niaba ya mkurugenzi mtendaji wa kampuni hiyo.
Kauli ilikuja baada ya Mdee, kushutumu kitendo cha serikali kuwanyang'anya ardhi wakulima wadogo sehemu mbalimbali nchini na kuwamilikisha vigogo, ikiwamo kampuni hiyo ambayo alidai inamilikiwa na Jeetu Patel.
Soma MWANANCHI
Au Riz1 anavyomiliki mali kwa kutumia migingo ya watu kama ASAAS wa Iringa

Chadema ni Kampuni ya Kichaga CEO wake ni Gavana Mstafu Edwin Mtei!