CHADEMA imekwisha!



Rekebisha sentesi.
Ni chadema au ukawa?
Maana siku hz mnatuchanganya sana.
Mara ukawa inatisha, ooh mara chadema inatisha.
Sa tumshike nani tumuache nani?

Dhambi waliyomtendea zitto na wenzake itawatafuna tu kuja kwa ukawa ni njia wanayoitafuta ili cdm ipate huruma ya watz kupitia migongo ya vyama vingine.

CDM ni kama popo. Hajulikani kama popo ni ndege au mnyama.

Povu mbona lakutoka kumtetea Lissu ? Lissu ni kama kuku wa kuchora hafai kwa nyama, hawiki, hatagi mayai nk

Lisu ni tatizo kubwa sana kwenye jamii hii ya watanzania anapaswa kulaaniwa na wote wapenda amani na mshikamano.

Mabomu atupe Lema na mbowe halafu wasingiziwe wengine we akili yako ipoje bana.

Hayo mashudu yote hayajaandikwa na huyu mshikaji hapa chini?

 
Utabiri wa Wasira tayari. Siku hizi kwenye mikutano huwezi kusikia peeopples power wala chadema. Unasikia UKAWA tu. Ukawa yenyewe imejikita katika matusi na kejeli vitu ambavyo waTZ hawana faida navyo. CDM kwisha jitambue jamani. Wasira nooooooooma
 

Kwani nani amesema hao maboss hawakuwa na mchango ndani ya CHADEMA?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…