Phillemon Mikael
Platinum Member
- Nov 5, 2006
- 10,536
- 8,625
Watu wengi hawajui kuwa JPM mara zote amekua akikabiliwa na upinzani mkali Chato toka akiwa Mbunge. Jimbo hilo kabla ya mgawanyo limeongozwa na Mwalimu Kabuye. Baadaye akashawishi likapatikana jimbo la Chato. Mara zote amekua akikutana na ushindani mkali.
Japo Wagombea Ubunge wamekua wakitolewa kwa hila naye kupita bila kupingwa ; ukweli umekua kwenye SErikali za Mitaaa ambako mara zote Chadema wamekua wakishika vijiji vingi zaidi kuliko CCM.
Hata Sasa ni Rais nikitegemea upinzani Ufe kabisa Chato Lakini ni tofauti japo Polisi wametumika kuwafanyia ubabe wapinzani bado wana dunda.
Kama wapinzania wa Chato wanayavumilia haya wa maeneo Mengine ni kina nani mkate tamaa?
Tulinde Demokrasia ni Afya hata kwa sisi ambao sio wana Chadema. Tutapata Demokrasia Ndani ya vyama vyetu
Hongera Mama Chato !!!!
Chato: Bendera za CHADEMA zashushwa na wanaodaiwa kuwa makada wa CCM. Mwanamama Husna Amri Said acharuka!