CHADEMA imekosa dira na mwelekeo

Kiukweli Nina wasiwasi na elimu yako

Unaweza kukuta ni mkuu wa mkoa huyo...

Si nilisikia viroba vimepigwa marufuku.

Dah!! Kweli JF ya sasa sio kama ya zamani, yaani siku hizi vichwa vya panzi wamejazana sana humu, na ndio wanaongoza kwa kuleta thread za kijinga kama hizi. Lazima Mods mfanye kitu ili huu ujinga usiendelee.
Dah.... Halafu wakiitwa maGT utaona na hawa wanajitokeza [emoji13] [emoji13]
 
pamoja na hayo uliyosema mbona ssm imeyazuia tena kwenye awamu hii mbona ndo nchi imepoteza mwelekeo!!!!!
 
Kwa akili yako ya masters unadhani what the point there??
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…