Nawaomba wadau wa Chadema watupe majibu kwa nini hawana diwani hata mmoja katika majimbo yafuatayo:-
Mtwara Mjini, Masasi, Newala, Mtwara Vijijini, Tandahimba, Nanyumbu, Lulindi, Lindi Mjini, Mtama, Liwale, Nachingwea, Kilwa Kaskazini, Kilwa Kusini, Kibaha Mjini, Kibaha Vijijini, Mafia, Rufiji, Kibiti, Mkuranga, Kisarawe, Majimbo ya Pemba na Unguja, Tanga Mjini, Muheza, Pangani, Mkinga, Kilindi, Korogwe, Lushoto, Bumbuli, Temeke, Ilala,Kigamboni, Kinondoni. Tunduru Kaskazini, Tunduru Kusini, Namtumbo, Mbinga Mashariki, Mbinga Magharibi, Peramiho
Wanazi wa Chadema leteni majibu
Wewe ondoa longo longo zako. Unachokisema wala hukifahamu.
Kama bandiko hukulipenda, kwa nini unapoteza muda kusoma lote na ku-reply.
Usifiche ukweli wa jambo kwa mgongo wa marumbano ya kiitikadi.
Kwa akili zako unafikiri kila anatembelea au kupost JF basi yuko Tanzania.
Usitake kuleta dictatorial mentality hapa JF ili watu wafanye kile unachokitaka/kukipenda.
Kama huwezi kujibu na kuchangia hoja, una choice mbili, ignore or skip
Hivi huko kuna wakristo kweli?
Wewe kajibu hoja kule, kuna mdau kauliza vipi kuhusu ile hukumu ya jana ya Lema pale Mahakama ya Rufaa? Mbona huiongelei wewe mbulula?Pia Kondoa Kaskazini na Kusini hakuna diwani wa CDM kwa Lusinde nako CDM hawana uongozi wala hawajawahi kutia mguu
Nawaomba wadau wa CHADEMA watupe majibu kwa nini hawana diwani hata mmoja katika majimbo yafuatayo:-
Mtwara Mjini, Masasi, Newala, Mtwara Vijijini, Tandahimba, Nanyumbu, Lulindi, Lindi Mjini, Mtama, Liwale, Nachingwea, Kilwa Kaskazini, Kilwa Kusini, Kibaha Mjini, Kibaha Vijijini, Mafia, Rufiji, Kibiti, Mkuranga, Kisarawe, Majimbo ya Pemba na Unguja, Tanga Mjini, Muheza, Pangani, Mkinga, Kilindi, Korogwe, Lushoto, Bumbuli, Temeke, Ilala,Kigamboni, Kinondoni. Tunduru Kaskazini, Tunduru Kusini, Namtumbo, Mbinga Mashariki, Mbinga Magharibi, Peramiho
Wanazi wa CHADEMA leteni majibu
Hapo kwenye RED. Anapomwambia mtu sasa ni saa tano usiku, anajuaje huyo anayeandika kama yuko kwenye time zone yake!!.Wapi amesema kila anaetembelea JF yuko Tanzania? Acha kumuonea huo ndio mchango wake!
Hizi habari za Chadema, chadema, chadema vs CCM mpaka zinachosa sasa na kukera, kwani ulitaka CDM wawe na madiwani nchi nzima? inakuwa sasa kama chadema na ccm wanagombania mke au wamechukuliana waume? Khaa! kwanini usuwaulize hao madiwani waliopo whichever party they belong wamewaletea maendeleo gani katika hizo kata waliowachagua? we mtu saa tano za usiku bado unaiwaza chadema badala ya kulala ukafaidi usingizi wako, sasa wakishakujibu kwa nini hawana madiwani then what? inaudhiii.
Tangulizeni kwanza PADRE akatafute waumini kwanza.
Nawaomba wadau wa CHADEMA watupe majibu kwa nini hawana diwani hata mmoja katika majimbo yafuatayo:-
Mtwara Mjini, Masasi, Newala, Mtwara Vijijini, Tandahimba, Nanyumbu, Lulindi, Lindi Mjini, Mtama, Liwale, Nachingwea, Kilwa Kaskazini, Kilwa Kusini, Kibaha Mjini, Kibaha Vijijini, Mafia, Rufiji, Kibiti, Mkuranga, Kisarawe, Majimbo ya Pemba na Unguja, Tanga Mjini, Muheza, Pangani, Mkinga, Kilindi, Korogwe, Lushoto, Bumbuli, Temeke, Ilala,Kigamboni, Kinondoni. Tunduru Kaskazini, Tunduru Kusini, Namtumbo, Mbinga Mashariki, Mbinga Magharibi, Peramiho
Wanazi wa CHADEMA leteni majibu
Mimi sijui kama huko kuna Wakristo Wachaga.Embu wenyeji wa huko watuambie
Hapo kwenye RED. Anapomwambia mtu sasa ni saa tano usiku, anajuaje huyo anayeandika kama yuko kwenye time zone yake!!.
Wewe kajibu hoja kule, kuna mdau kauliza vipi kuhusu ile hukumu ya jana ya Lema pale Mahakama ya Rufaa? Mbona huiongelei wewe mbulula?
Hivi huko kuna wakristo kweli?
Wapi huko ambako kuna utajiri wa kutisha na upatikanaji wa elimu ambako CCM haiko bali ndiko CHADEMA ilipo?.kuliko na umasikini wa kutisha na ukosefu wa elimu ndiko ccm mliko!!!
Wapi huko ambako kuna utajiri wa kutisha na upatikanaji wa elimu ambako CCM haiko bali ndiko CHADEMA ilipo?.