CHADEMA ikome kutudanganya

acha kujifariji kwa turufu finyu hizi. hivi unaelewa muungano wa ukawa ndio uliipa nguvu chadema. nje ya muungano huu chadema tungekuwa tunaongea mengine kabisa na hata idadi ya wabunge ingeshuka sana. kama kila chama kingejitegemea. unazungumzia maisha ya watanzania yamenyongonyea wewe unadhani kwa sababu gani.?? hudhani kuwa yale mapesa ya wizi ambayo yalikuwa yanatapazwa na mafisadi sasa hayapo. je ulipenda ufisadi uendelee ili mapesa yaendelee kuwafikia wananchi.
toa ushauri walau basi baada kautafiti kadogo ka ku support argument yako. vinginevyo nitasema umeongea pumba tu. unataka kuleta ushabiki usiokuwa na mbele wala nyuma. ushabiki wa kununuliwa na vipesa uchwara
 
Chadema watatetea kila aina ya uozo mwaka huu.

Majizi, mafisadi, mashoga, vibaka, wakwepa kodi, wavuta shisha wote mtetezi wao ni chadema!!!

Hii ndio maana ya chama kubadili gia angani.
basi sawa. napita tu
 
Wewe ndio una mawazo finyu sana, sasa hauoni kama huo ndio ubunifu wenyewe unaotakiwa? Kwa ujumla sioni mantiki ya ulichokiandika hapa, kwa kuwa siasa ni mbinu na wenzako wameitumia vyema. Hoja yako ni sawa na mtu aseme "marekani wanajidai kwa kuwa ni muungano wa nchi takribani 53 hivi, ingebaki nchi mojamoja wasingekuwa na nguvu waliyonayo sasa". Rudi shule kijana.
 
Upeo wako wa kisiasa ni wa mashaka sana. Wewe ni mpinzani, kutwa nzima kushambulia wapinzani wenzio kwa kudhani unajenga chama chako kumbe unakibomoa bila kujua. Moja kwa moja unathibitishia umma kuwa ACT ni tawi la CCM. Kwa afya ya ACT unatakiwa ufukuzwe chamani haraka sana.
 
UMEANDIKA UZUSHI MTUPU
., . . .
 
TAARIFA KWA UMMA

Ipo hoja nyepesi mno iliyopikwa na Vijana wa Lumumba juu ya Mbunge wa Kibamba na Naibu Katibu mkuu wa CHADEMA John Mnyika kuwa alimkataa Lowassa

Hoja hiyo ni ya kupuuzwa kwa kuwa haina ukweli wowote ule, na nitalishangaa Jeshi la Polisi kuendelea kukaa kimya,na kumuacha aliepotosha Umma kwa kiwango kikubwa kiasi hicho,jambo ambalo limempa Usumbufu mkubwa Naibu Katibu mkuu kwa chama na Wananchi wake katika jimbo lake.

Nataka kuona nguvu ya Cyber Crime kama kweli sheria hiyo ni dhahiri ni msumeno au huwa inakata upande mmoja tu!.Mnyika ni Kiongozi mkubwa na katika Taasisi kubwa sana nchini CHADEMA,hapaswi kunenewa uongo kwa nia ya kuupotosha Umma naliomba jeshi la Polisi liingie kazini Mara moja kutimiza majukumu yake.

Imetolewa June 03

Edward Simbeye
Katibu Mwenezi BAVICHA Taifa
 
namheshimu mnyika...hayo Mengine ni ya kwako...so far katika chadema tumesema wazi kama lowasa mwizi apelekwe mahakamani haraka.

ila one thing you have to note...you precisely ni kuwa chadema ni taasisi iliyo zaidi na hisia za mtu Mmoja...Iwe mimi..iwe mbowe..Iwe slaa..iwe lissu

wamekuja wengi wamepita wengi...hata wengine waliuawa kama mawazo
 
Ninunuliwe ili iweje? Sijawahi kula hela ya siasa wala siasa haijawahi kuingia kunyanyua shughuli zangu ambazo ni za halali kabisa.
Ukweli lazima muukubali, kusema eti Ukawa ndio imeinua Chadema huo ni uongo wa mchana. Kama ni hivyo na CUF jee? Sasa ukawa watakuwa wamemuinua nani? Wewe ndiye umeleta pumba kwa kuandika kama ulivyotumwa na moyo badala ya fikra
 
Mnyika akijitokeza na kuandika jambo lolote kuhusu Lowasa basi mimi nipigwe ban la miezi sita!
 
Mwenye mada humjui au

Jibu kuwa Ni kwanini Myika hatoki hadharani kukanusha story hii
mbona marehemu wilson kabwe aliitwa fisadi na akatumbuliwa hadharani,lkn sendeka msemaji wa ccm akamsafisha siku ya mazishi huku uvccm wakiwa hawajui wafanye nini
 
Duuuh post ndeeeeeeeeeefu, utumbo mtupu!!!!
Mavijana mengine bana..
 
Duuuuh aseee lowasa anawatoa roho fisiem,,yaan kutwa hawaish kumtaja kwenye post zao,,wazee wa lumumba wana matatizo sana ,,kipaumbele cha kwanza elimu,cha pili elimu cha tatu elimu,,yaan ni ELIMU,ELIMU,ELIMU,,, hii ilikuwa mahusus kwa watu wa dzain ya hao fisiem,,,
 
kamanda unakumbuka kulikuwa na mitafaruku , enye majimbo mengi sababu ya chadema kuhodhi wagombea na kutaka wagombee wao tu. kwingine hata majimbo yalipotea kwa sababu ya mtafaruku huo kama Segerea. hivi unakumbuka kwa mtaji huo kiukweli chadema ililazimisha majimbo mengi wenyewe ndio wasimame kugombea. it was realy unfair na haikuwa demokrasia. tulitumia udikteta tu wa Mbowe. vyama vingine kwa mtaji huu ilibidi vife kibudu mfano kule jimbo la marehemu Makaidi kule Masasi. chadema wali influence mpaka Makaidi akakataliwa na ikawa chanzo cha yeye kupata Pressure kubwa. kiufupi kulikuwa na matendo machafu yaliyofanywa na chadema katika maeneo mengi. na huu ukawa mtaji wa kisiasa kwa kutumia migongo ya vyama vingine. hatukutenda haki hata kidogo
 
mbona hujamtaka kamanda Chacha Wangwe. yeye ilikuwaje au alikufaje.? Chadema bado haijawa taasisi my friend. tumekaa ndani humo miaka yote haijawahi kuwa katika level hiyo, tusidanganyane. bado ni mfumo wa Saccos ya mtu! na wale wote waliokuwa wakidhania ni taasisi na kujaribu kuhoji mambo mambo waliishia kufukuzwa tu kidikteta, bila demokrasia yoyote kufuatwa. kina Zitto, Mwigamba , Prof Mkumbo na wengineo. embu tune akili yako vizuri rudisha kumbukumbu kabla ya yote
 
[QUOT"Maelau, post: 16742059, member: 41240"]Wewe ndio una mawazo finyu sana, sasa hauoni kama huo ndio ubunifu wenyewe unaotakiwa? Kwa ujumla sioni mantiki ya ulichokiandika hapa, kwa kuwa siasa ni mbinu na wenzako wameitumia vyema. Hoja yako ni sawa na mtu aseme "marekani wanajidai kwa kuwa ni muungano wa nchi takribani 53 hivi, ingebaki nchi mojamoja wasingekuwa na nguvu waliyonayo sasa". Rudi shule kijana.[/QUOTE]
shule ?
 
[QUOTE Maelau, post: 16742059, member: 41240"]Wewe ndio una mawazo finyu sana, sasa hauoni kama huo ndio ubunifu wenyewe unaotakiwa? Kwa ujumla sioni mantiki ya ulichokiandika hapa, kwa kuwa siasa ni mbinu na wenzako wameitumia vyema. Hoja yako ni sawa na mtu aseme "marekani wanajidai kwa kuwa ni muungano wa nchi takribani 53 hivi, ingebaki nchi mojamoja wasingekuwa na nguvu waliyonayo sasa". Rudi shule kijana.[/QUOTE]
Shule ?makamanda walishachangia humu wakisema shule kwa tanzania haina maana yoyote. wamesema hata hivyo mfano Mnyika mwenye elimu ya sekondari ana akili kuliko Dr Tulia mwenye phd. sssa shule ya nini tena. HAPA NI KAZI TU hahahaha
 
Hili ni jambo binafsi la Mnyika kutaka fisadi Lowasa afungwe na ni fisadi!

Ni Mnyika mwenyewe ndiye anaweza kuja kutuambia kuwa Lowasa si fiasdi na ana mkubali sana!
Kwa hiyo?
 
sasa wewe kama umeshindwa umeshasepa kivyako...who cares about you...tupo tangu 1992 na hatuna Mpango wa kuondoka...wewe uko huru CHADEMA Itaendelea kubaki....utake usitake
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…