CHADEMA iko Wapi Hapa?

Ufinyu wa Mawazo majukumu ya serikali yeyote ni pamoja na ujenzi wa barabara unadhani nani ajenge barabara? hizo kodi za wananchi ziende wapi?
mkuu usipate shida sana na huyu jamaa.Kuna watu wa chama fulani cha siasa wamebadilisha mkakati humu Jf. Baada ya kujikuta wakiwa hawana hoja,Mkakati waliounzisha sasa hivi ni kuvuruga nyuzi zote za msingi ili zipoteze mantiki na kimoja kati ya viwili walau vitokee.1.Uzi uhame kutoka kwenye kujadili mada hadi kwenye kujadili watu na kisha kutukanana na baadae uzi ufungwe na walau walili watatu wapigwe ban. au 2. Kuchangia ----- ili kuwakatisha watu tamaa ya kuendelea kuufuatilia uzi.Hii ni siri tu nakupakulia katika mkakati huo na ukitaka kujua wenye mkakati; basi angalia aina ya comment tu utajua.
 
Nakubaliana nawe wanataka tuwekewe Ban sababu wengine hatupo tayari kuona ukweli unakuwa uongo na uongo unakuwa ukweli Hata sikumoja.
 

Chadema hawana sifa no. 4 na 5 hata kidogo!!!!
 
Chadema hawana sifa no. 4 na 5 hata kidogo!!!!
Hata mimi naona kama sifa hizo wamekosa.Hasa hii ya Uwazi yaani si wawazi kabisa.Wakiitwa kwenye mijadala, wanatoroka wanadai eti wana kikao cha dharura makao makuu ya chama dodoma, Wakitakiwa watolee maelezo juu ya masuala yanayotaka ufafanuzi, badala ya kuita vyombo vya habari na kutoa maelezo wao hukaa kimya tu.Uko sawa kabisa.
 
Mbona unataja sifa za Chadema? Tafuta sifa nyingine tofauti ili udhihirishe hoja zako mpendwa.

 
Mimi ninachojua, chama bora na chenye sifa kitajulikana baada ya uchaguzi ...2015.

Na msiumize kichwa sana, hata kama kura zitapatikana kwa njia za kisayansi na kijadi, ha ha ha ha haaa!
 
Mbona unataja sifa za Chadema? Tafuta sifa nyingine tofauti ili udhihirishe hoja zako mpendwa.
kumbe sifa za CHADEMA? kwa hiyo kumbe chadema kina sifa zote hizi? unadhani kimebakiza sifa gani sasa kabla ya kushika dola?
 
Haya yote uliyoandika ni fikra zako tu na matamanio yako hayana uhusiano na kuchukuwa dola, huwezi kuchukuwa dola kwa maneno ya mitaani.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…