Elections 2010 Chadema huko dar vp?

emmathy

Senior Member
Sep 22, 2010
147
25
Ninaangalia star tv, nimeona wakisema kuwa Mh.Baregu na Mh.Marando wameitisha kikao cha waandishi wa habari lakini mpaka sasa hawajasema lolote, kwa mujibu wa star inaonekana wana ujumbe muhimu.Sie wana JF tunahitaji kujua nini kinajili walio Dar tuhabairsheni.....
 
Back
Top Bottom